Nianze kwa kuwatakia salumu nyingi za jioni, na wale wafuasi wa Simba, happy Simba day.
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna nyumba yangu nataka kuiweka madirisha ya aluminium ila bado sijapata...
Ebhana kumbe kifusi kina balaa hivi hapa kichwa kinauna balaa nataka kukwangua udongo kiwanja chote kwenye sehem zilizoinuka inuka
Nikimaliza hapo nitaangalia nifanyeje maana nataka kuhamia kwa...
Nataka upcoming architect anichoree ramani simple ya nyumba ya mkoani huko. Vyumba viwili kimoja master sebule, jiko choo cha master na public.
Sina budget kubwa.
Njoo dm na proposal yako tusaidiane.
Habarini..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama nitaweza kupata ramani zinazoonesha ujenzi wa nyumba (unit) za kupangisha pamoja na lodges nitashukuru.
Pia kama ni FUNDI mbobevu wa...
Habari
Nimefanya utafiti wa nyumba za kuishi zinazojengwa na vijana wasomi kuanzia degree moja na kuendelea kwa kweli zinafikirisha!
Msomi mzima na kazi yake anakutambia amejenga lakini...
Habari ndugu Wana ujenzi, mwaka huu niliweka malengo ya kuweka akiba benki kidogo kidogo kwa ajili ya ujenzi, nilianza kuweka hela ya bati za kawaida, nikafikisha hela ya bati 70 nikaweka hela ya...
Habari wana JF napendelea kuuliza kuhusu viwanja. Je ni viwanja gani ambayo unaweza kupata hati mana naona kwa sasa uwezi kupewa hati kwa viwanja vya 20kwa 20.
Naitaji kununua msaada please
Habari zenu wana JamiiForums!
Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya;
1...
kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za...
Kichwa cha habari chajieleza,
Wandugu, wataalam na wazoefu wa ujenzi naomba mnisaidie,
Je ni tofali ngapi za block zinatakiwa kujenga chumba kimoja cha darasa? Kuna fundi aliniambiai inatakiwa...
Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani.
Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei...
Habari ya jioni wakuu mbalimbali.
Naombeni ufafanuzi wa kitaalam kuhusu kutofautiana kwa bei za mabati. Nimetembele viwanda vitatu,yaani sunshare, epic na alaf.
Na kila unapoenda kila mmoja...
Habari!
Naomba ushauri juu ya aina ya tiles, zakuweka kwenye nyumba ya kuishi familia! Aina za tiles za kuweka sebuleni,dining ,vyumbani,jikoni na barazani.Budget ni ya mtanzania wa kawaida...
Nyumba yangu ina
-Master bed room
-Chumba kimoja cha kulala
-Jiko (chumba kidogo)
-Choo kimoja cha public (bafu na Choo hukohuko)
-Sebule na varander yake.
Naomba ushauri wenu wakuu?
Nizibe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.