Assalaam alaykum wana JF
Mimi ni mgeni nilikuwa nahitaji msaada wenu wenzangu je ili nijenge nyumba ambayo inaendana na yakisasa
Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi...
Habari zenu wana JF
Kuna nyumba inauzwa milioni 45 maeneo ya Kivule, ina sebule, dinning, jiko, vyumba vitatu vya kulala na kimoja master. tiles kote, madirisha ya aluminium, gril, matanki ya...
Wadau naomba tujuzane mbinu za kupata bati za kampuni bora kabisa ili tuokoane kwa hasara tunazozipata mara kwa mara.
Maana kuna utitiri wa viwanda vya mabati jambo ambalo limepelekea tunapaua...
Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango...
Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshajenga msingi tu.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining...
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.
Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza...
Jana niliafikiana na fundi kazi ya kutengeneza geti. Akanipa mchanganuo wa vifaa, ambapo miongoni mwa mahitaji ni square pipes 11 za inch. 1.5.
Fundi alinitajia bei ya Sh. 27,000/- kwa kila moja...
Wakuu habari zenu naombeni msaada wa mawazo Nina mpango wa kujenga kighorofa kimoja.
Jinsi niyakavyo ni kujenga chini jiko halafu kwa juu yake nataka kuweka chumba cha master yaan chumba na choo...
Habari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa gharama, kwa mwenye uzoefu.
Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha...
Wazoefu wa ujenzi,
Nipeni makadirio ya gharama inayostahili kwa labour charge ya
Kufunga gyspum boards na mikanda yake,
Kuskim gyspum na ukuta,
Na
Kupaka rangi,
Kwa chumba cha futi 11×11.
Wakuu,
Jirani yangu ameniambia kuwa geti langu la futi 10 linaweza kupelekea gari kugonga nguzo wakati wa kuingia au kutoka.
Hii ni kweli?
Kwa sasa sina gari, Ila naomba mnipe uzoefu kabla...
Habari za wakati huu wakuu
Kwa waliowahi kutumia au wanaojua juu ya mabati tajwa hapo juu. Vipi kuhusu ubora hasa kwa upande wa kupauka
Natanguliza shukrani.
Na je, una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea...
Juzi nililikua site kwangu Buhongwa Mwanza kiwanja kilipimwa viwanja viwili najiandaa na ujenzi nimeshasogeza baadhi ya material kama tofari na mawe kama trip 8 iv sasa jamaa mmoja alieniletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.