Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wataalamu nimepata kamtaji fulani nataka Kujenga kituo Cha afya BUKOBA VIJIJINI TANZANIA Matazamio yangu Kituo kitakuwa na vifuatavyo First Phase ni Kujenga Msingi/foundation ya kituo ambacho...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Za muda huu? Engineering compass kwa ajili ya technical drawings ni bei gani? Nawasilisha.
1 Reactions
3 Replies
607 Views
Saudi Arabia inaanza mpango kabambe wa kujenga structure ya jengo kubwa zaidi duniani kaskazini magharibi mwa ufalme huo. Muundo huo, unaojulikana kama Mirror line, kwasabab litakua la vioo na...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau habari, Hapa nilitaka iwe vyumba 3 sebule na jiko. Nikapandisha ikafika sehemu ikakwama fedha ilikata ila najipanga niamie ili mengine yanikute hapohapo sasa naomba msaada wa makadilio ya...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wadau, naomba ushauri kati ya tiles na kioo bora nianze kuweka kipi kwenye nyumba yangu. Ila nyumba nimeshahamia nimo ndani humo humo ninawaomba ushauri vyote ni muhimu ila bajeti sio...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo. Je, njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Msaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kujengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
106 Replies
20K Views
Naomba kuuliza kwa mafundi tiles (VIGAE ) pamoja na waiza bidhaa hii ya VIGAE kama kuna uwezekano wa kupata VIGAE vya rangi ya kijani na njano. Samahani naomba majibu kwa wenye kujua
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MSAADA WA MAKADIRIO YA RAMANI HII KTK KUNYANYUA BOMA NA KUEZEKA ,MSINGI NILIJENGA MWANZONI KABISAA
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nimetafuta sana ramani za nyumba zilizo full kwenye pdf files mitandaoni Ila nimekosa zaidi nakutana na picha za floor plan zenye namba za simu na nimejaribu kupiga baadhi ya hizo namba za...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau naomba kujuzwa hivi ni kwanini gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengeneza PVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta.
1 Reactions
64 Replies
17K Views
Binadamu wenzetu waishio Dunia ya kwanza linapokuja swala la makazi huwa hawana mbwembwe nyingi, hasa kwenye ujenzi wa nyumba kama sisi wenye kipato kidogo tuishio Dunia ya tatu! Yaani mtu yupo...
2 Reactions
4 Replies
786 Views
Ni maeneo gani mazuri na ya karibu kupanga karibu na IAA- Dar campus? Na dalali kama yupo anicheki…
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Kama mada ilivyo wakuu, Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao wa kufunga na kufungua au Panabaki wazi? Ikiwa panabaki wazi, haileti mwonekano tofauti kwa watu waliopo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mashine ya kulazia matofali au kuweka Paving. Utagundua kuwa kuna nafasi ya ziada chini ya inapoishia rangi ya njano. Hiyo ni kwa sababu inaweza kurekebishwa ili kubeba saizi nyingi tofauti za...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Ramani nzuri ya kiwanja cha 400 SQR Meter msaada wenu tafadhali
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari zenu! Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo. Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
[emoji375]
1 Reactions
6 Replies
992 Views
Naomba kwa mwenye uelewa kuhusu ubora wa gypsum board zinazotengenezwa hapa nchini (za kichina) na zile maarufu za Thailand. Je, ni kweli zinatofautiana sana ubora au ni swala la brand tu...
1 Reactions
46 Replies
20K Views
Hello wapendwa nina kaprojet kangu ili nifanikishe nahitaji hii bidhaa inayoitwa DEXPAN ambayo inatumika kuvunja mawe au miamba migumu. Wapi naweza pata.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom