Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Habari za kazi wadau! Nina nyumba yangu ambayo nimeahamia mwaka jana, ingawa bado sijamalizia finishing. Mara baada ya kuhamia kwenye nyumba yangu nilishangazwa na kushtuswa na sauti za wadadu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimea inasaidia kuleta hewa safi tunayoihitaji kwa afya zetu. Uharibifu wa mazingira unaongezeka hasa mijini. Hii picha inaonyesha unavyoweza kujiongeza na kupata hewa safi hasa wakati ukiwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Chuo cha Mipango Dodoma mbioni kujenga Shopping Mall kama ya MLIMANI CITY ikiwa ni kumbukumbu za Mawaidha ya Mwalimu Nyerere ya MADUKA ya Ushirika. Jengo hilo litajengwa Jendegwa mkoani Dodoma...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar wakuu..... Ninaomba ndugu zangu mafundi wa ujenzi wa nyumba muniseidie tathmini kidogo ya vitu ili niweze kujenga msingi wa nyumba yangu Targets ni vyumba 3 kimoja masters , viwili kawaida...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na hivi vitofali vyekundu vya kubandika ukutani, vinabandikwa kwa bei gani kwa kila mita za mraba?
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba msaada wa kujua tyle za linglong zinapopatikana na bei zake kwa jumla , hasa size 15 na 14 . Massada wenu kwa anaefahamu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wakuu.. Kama kichwa cha habari hapo juu Nina ka eneo changu kigamboni chenye ukubwa wa urefu mita 14.3, upana mita 9.75 ninataka nijenge vyumba vitatu ,kimoja master , sebule, kijiko ...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Our client Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) which is an autonomous, not for profit, non-political national NGO providing Sexual and Reproductive Health (SRH) information, education...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Habari zenu. Naomba msaada wa mtu/mahali pa kukata kioo kuwa round (clean cut) na kutoboa kioo /vioo vya aina mbali mbali vishimo vya vipimo (3mm-60mm) tofauti kwa ubora wa hali ya juu. pia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Uvimo Maktaba Maktaba yetu leo hii itaangazia Mlinganyo wa gredi ya saruji, aina ya mchanga na aina za maji kwa ajili ya plasta na vigae. Uvimo tumeendelea kutoa elimu na kujadilisha mada...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu habari Wapi nitapata mabati ya bei rahisi yale ya migongo mipana kwa mkoa wa Dar es Salaam. Bei hizo tofauti tofauti ni kiasi gani kwa kila gauge
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wana JF natumaini mwaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa Kwa wenye idea au uzoefu kuhusu ujenzi wa chumba kimoja master ningeomba msaada wa price estimation ya ujenzi wa idea hii Credit...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa. Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Hbr membr of flow. Sasa nimeamua kujipang kuezeka kikabwela natak kutumia bati za kawaida (sio wakina alafi wala sunShare) Wajenz / wataalamu na wazoefu naomben ushauri katk swala la mabati kuna...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna nyumba ya hayati mmoja nilifika nikakuta kaweka Marble floor tiles za kijani zimependeza sana huko mkoa wa Geita nilipojaribu kuuliza mhusika akaniambia zimenunuliwa mbeya kuna mgodi wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom