Poleni na majukumu wakuu.
Nimejenga nyumba yangu iko ktk hatua ya kupaua ila nimeona katika madirisha matatu kumetokea (nyufa nyembamba sana) unakua ni ufa mmoja tu unata juu mwenda chini...
Ni kifaa cha elektroniki cha usalama ambacho kinafungwa kwenye majengo mbalimbali ili kugundua harakati zisizoruhusiwa katika Maeneo haswa baada ya muda wa kazi. Kifaa hiki kinatumika katika...
Bila ubishi wakuu mwonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari.
So pretty, so beautiful, so gorgeous, so cute.
Angalia mwenyewe, mkuu.
Habari.
Kuna kibanda cha square metre 371 kimefikia hatua ya kupaua na kuweka bati , je makadirio ya gharama inaweza kuwa shs ngapi?
Natangiliza shukrani.
Wanajukwaa nawasalimu.
Natamani kuishi kwenye nyumba ya National Housing hapa DSM.
Sijawahi kuishi kwenye hizi nyumba zaidi ya kuona waarabu na wahindi wakiwa ndio wakazi wakubwa. Naomba kujua...
Kwa anayejua Fundi wa kuziba Simtank. Ni tank kubwa la lita 10,000 na limepasuka upande wa chini ubavuni. Kutokea chini kabisa kuja juu kama sm 45 hivi.
Najua sehemu ya chini huwa kuna mgandamizo...
Kuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa
najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3
Most of my friends ambao walikua wamesha...
Habari za majukumu.
Ninaishi sehemu kuna mbu wengi Sana, na malaria ni hatari.
Ninatamani kufanyia farmigation nyumba nzima Kwa lengo la kuuwa mbu, mende, mijusi na wadudu wengineo.
Naomba...
Habari za leo wakuu,
Kaka mijengo bado naendelea na hobby yangu ya kubuni mijengo mbalimbali kadri akili inavyo nituma.
Haka kamjengo kana vyumba viwili tu, na choo ndani kwa ndani.
Bado...
Salaam wanajukwaa.
Nahitaji ushauri na uzoefu juu ya jambo hili. Nahitaji kujenga choo kidogo cha kisasa pasipo kutumia tofali kwenye kuta. Chemba ipo tayari na sink zipo tayari, kinachoniwazisha...
Hello everyone,
I'm still continuing with my project of house design.
And today I've come with the second project which I've made this week as you can see on the photos below.
This house has...
Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.
Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa kama nataka kufanya ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kimoja master kingine cha kawaida, Bafu na choo la public, Jiko, Sebule na dining. Je, niandae shilingi...
Rejea swali hilo wakuu.
Mbao ngumu bei mkasi sana, japo wadudu wakipekenya ni hasara zaidi.
Mimi huwa nikiona milango imepakwa rangi naamini tu ni mbao za kawaida. Ila unakuta ziko poa na...
Wakuu salaam kwenu.
Naomba kujuzwa gharama na ubora kati ya paving blocks au kokoto kwenye eneo la biashara lenye mita za mraba 40. Kama ni kokoto ni za aina gani na kama ni paving block ni zipi...
Kama kawaida sekta za ujenzi haisimami. Kazi ni kila siku yaani 24/7.
Kwa site engineers hasa barabarani tupeane mbinu za kuminimize cost za ku-run site activities.
Pia na jinsi ambavyo tunaweza...
Habarini wapendwa? Mimi ni operator wa excavator pia ni fundi nimefanya kazi kama msaidizi wa operator kwa miaka 3. Nipo tayari kufanyiwa majaribio hadi ndio niajiliwe au nikabiziwe kazi .
Labda...
Habari za muda huu wadau
Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya...
Habari wadau!
Mwezi huu nilikuwa na plan ya kuendeleza ujenzi lakini nimekwama maana dukani ninaponunua cement mangi kasafiri ghafla😂😂😂😂
Naomba nipewe update cement inavyouzwa huko mitaa yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.