WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara...
KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200
Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na...
Naomba kufafanuliwa kunaulazima gani unapojenga kuweka renta Tatu? Msingi baada ya kosi nne (dirishani) unaeka renta ukifika kozi ya kumi renta tena katika hizo ipi ni ya muhumi mnooo na haipaswi...
Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu,
Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa?
Sio...
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo.
Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo
SEHEMU YA KWANZA
1.HOW I MET...
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa...
BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA.
Karagwe - Kagera.
Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya...
Wakuu habari za uzima?
Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule?
Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula?
conductor...
BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE.
Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika...
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameshiriki Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Tabora kilichofanyika Leo tarehe 20 Aprili, 2024 kwenye Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi Ofisi ya...
-Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo
1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.(...
Wote tumeona na kusikia Kikichotokea Hanang na maeneo mengine kama Arusha, Geita na Baadhi ya Nchi jirani Kwa kukumbwa na Mafuriko na maporimoko ya Mawe na uongo.
Kwa tahadhari tu, unapochagua...
Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽.
Naombeni muongozo!
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa...
Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30
Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali...
Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.