Habari wadau,
Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna...
Habari,
Natafuta mdf board za kituruki ziwe high gross kama zile kwa sasa wanatengenezea makabati ya jikon au tv show case kwa anaejua ni nani anauza hizo board hapa Dar es Salaam atakua...
RAIS SAMIA ANAENDELEA KUWEZESHA FEDHA ZA DHARURA KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia...
Habari Wana JF,
Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC.
Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji...
Madalali kabla ya kukupangisha chumba/nyumba huwa na maneno mengi mazuri ili utoe pesa, maneno mengine huwa ni uongo pia.
Ni jambo gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua kuwa...
Habari ndugu mtanzania mwenzangu.
Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi.
Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :-
👉🏿Uuzaji wa...
MAKALA YA 3
Karibu katika Makala yenye kuelimisha mambo muhimu kuhusiana na ujenzi wa Majengo.
Leo,tutaangazia juu ya DAMPNESS/Unyevu katika jengo.
Hili ni jambo linalokumba Majengo nchi nzima...
Lengo ni kwamba nahitaji kuanza ujenzi.
Ila mpaka sasa nime save 5ml, ila nina uhakika wa kusave laki 6 kila mwezi.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida tu iwe na vyumba vinne je naweza kuanza...
Habari za wakati huu!!
Mimi ni muhitimu wa:
1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018
2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022
✓chuo cha MUST.
✓ Uzoefu wa miaka 3+
NATAFUTA...
Wadau nijipiga piga nikapata vijisenti kdg nataka kujenga sehem ya kujificha jua kuna hawa jamaa wanaitwahttp: //humannehomes.com/index.html wanajenga Nyumba kwa chupa halaf wanapiga plasta was...
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya...
KITENGO CHA TECU KUIMARISHWA, KUTOA FURSA KWA VIJANA: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) itaendelea kukiimarisha...
Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia.
Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati.
1.
A.MTINDO WA...
hawa ni ANDO g30 ni 18500
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311
hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .
Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Rukwa kumsimamia Mkandarasi Kampuni ya China Geo-Engineering Corporation anayejenga barabara ya...
BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya...
Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.
Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine...
MAKALA MAALUM
karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi.
Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo.
1.Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.