Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Habarini wakuu naomba msaada wa tatizo langu hilo kwenye ukutani. Je, ni tiba gani inafaa hapo ili tatizo liondoke moja kwa moja? Shukrani.
3 Reactions
46 Replies
4K Views
leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu...
22 Reactions
26 Replies
11K Views
Inatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k. Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa Sana na milango kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua, ushauri wenu wadau wa nini nifanye!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa. Nyumba inajengwa vizuri ila upande wa kuweka bati ilibaki kidogo kuwa na usawa wa gorofa moja.
21 Reactions
52 Replies
5K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
2 Reactions
60 Replies
22K Views
Naombeni mawazo yenu juu ya hii ramani
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tupeane Uzoefu wa Tabia za Wenyeji wako, ulizo kutana nazo kwa Jiran yako wa mpakani au mtaa ulio jenga na kuhamia au ulipo nunua kiwanja umepokelewaje? Vipi wenyeji wa pande zote za nyumba au...
8 Reactions
83 Replies
7K Views
BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wana jukwaa, Kuna eneo(kiwanja) nahitaji kununua sehemu. Ila ni kama kuna utata kuwa ni kwaajili ya makazi au biashara au yamkini ni eneo la serikali kwasababu kipo karibu na eneo la soko...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni....
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakubwa poleni na mjukumu na wezangu habarini za mihangaiko. Kama mada inavyojieleza, nina kiwanja kipo eneo zuri tambarare kiasi hali twamishi maji yani kuna kamwinuko. Asili ya udongo ni...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Naitaji any construction software ambayo inaweza kufanya bill of quantities
1 Reactions
5 Replies
973 Views
Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Ndugu zangu nimekuwa nikipigwa na shoti kwenye kitanda cha chuma wakati napanda au wakati ninaposhuka chini nikigusa chini kunakuwa na shoti. Tatizo hili linasababishwa na nini na jinsi gani...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu. Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana? Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka...
3 Reactions
9 Replies
848 Views
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ni kukuza uchumi wa Sekta binafsi inayochangia makusanyo ya kodi ambazo...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Katika uchaguzi wa Rangi ya nje ya nyumba jambo muhimu ni kuchagua rangi zinazomech vzuri na paa/bati lako ili kupata muonekano maridhawa.Kama inavyoonekana pichani hizo ni baadhi ya rangi...
9 Reactions
19 Replies
98K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…