Kuna kipindi nyumbani tulikuwa tunajenga nyumba ya familia, Ikaanza kila tukinunua sementi unakuta mifuko inapungua, kumbe kibarua akichanganya mchanga na sementi, anapakia mchanganyiko kwenye...
Kwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania?
Je, kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162...
JIMBO LA IGUNGA
Tumepokea Fedha kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya Sekta ya Elimu kwa mchanganuo ufuatao;
Tshs. 814,900,000/- za Ujenzi wa Shule Mpya za Msingi na...
Nimetafuta raman ya nyumba simple simple nimekutana na hii naomben ushaur kwenye hii ramani
BAADA YA MAONI YA WATU NIMEKUJA NA UPDATES YA RAMANI YA PILI HII HAPA
NAYO MNAIONAJE MSICHOKE WAKUU...
Wadau naomba mnisaidie ushauri ,nina kiwanja cha sqm 1000 nawaza nikiuze au nijenge apartment ya chumba ,sebule,choo na jiko !!
Lengo la kukiuzaa nataka nibadilishe eneo nikanunue sehemu nyingne...
Hawa mafundi kuna wakati wanatia hasara sana, anaweza kukupigia makadirio ya vifaa vya kujenga, aidha kubwa sana au ndogo sana kulingana na uhalisia.
Unakuta umepigiwa gharama ya mifuko 50 ya...
Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo
.... Dirisha 30000
...nguzo 40000
... skirting 100000
..arch ya baraza 10000
... Arch ya ndani 70000
0719999526/0747618315 WhatsApp
Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo
.... Dirisha 30000
...nguzo 40000
... skirting 100000
..arch ya baraza 10000
... Arch ya ndani 70000
0719999526/0747618315 WhatsApp
Uliza chochote kuhusiana na harakati za upimaji wa ardhi kiwanja au shamba na namna ya kupata hatimiliki....
Mtaalamu nipo na Kama una ABC khs ardhi uje tubadilishane mawazo hapa...atupokubishana...
Mambo yasiwe mengi wakuu.
katika kujitafuta nimeona niweke vyeti pembeni niingie rasimi kujifunza fani ninayovutiwa nayo inayohusu mambo ya Gypsum design, wall skimming,perfic finishing and paint...
Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni...