Binafsi naamini sana kuwa na sehemu yako ya kuishi bila bugudha ya kodi wala maudhi ya wapangaji wengine.
Mambo machacho kuhusu mimi
1. Niko under 30
2. Kipato changu ni kati ya 500k - 550 k kwa...
Mafundi na wazoefu wa ujenzi, kujenga fensi kwenye kiwanja cha 400 sqm nahitaji tofali za blocks ngapi?
Na hela ya ufundi niandae kiasi gani?
Kiwanja ni tambarare.
Naomba mwongozo.
Kuna ka eneo kangu ka urefu wa 13M kwa 20M ,eneo ni tambarare kabisa ilaa naona katavamiwa na majirani maana ujenzi eneo hilo umepamba sana moto.
Nataka nijue niandae
Tofari ngapi
Simenti mifuko...
Habari waungwana na wadau wa ujenzi.
Nawajaribisha tushirikiane kujadiliana aina hii ya ujenzi kwa wataalam na wadau wa ujenzi wa aina hii....karibuni
1.Je una changamoto katika ujenzi wa nyumba...
Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
Habarini wadau
Naomba kuuliza kwenye ishu ya kuvuta maji je unaweza kumalizia mwenyew baada ya mita 50 za dawasa Kwa kutumia fundi wako, maaan nnapoweka ni kama 200M na gharama zao Kwa huo umbali...
Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto...
Wakuu habari zenu
Nina kiwanja cha 20*20 hapa hapa Dar maeneo ya Tegeta Madare plan yangu ni kujenga nyumba kubwa ya vyumba vinne sebule daining jiko store. Lakini kwa sasa nipo na 7,000,000...
Heri ya mwaka mpya ma great thinker!.
Naombeni ushauri wa material za kupaua kama zatosha kwa nyumba ya sqm 179.
Bati 140 ft 10 alaf
Bati 10 za kofia
Mbao 350
Wire Kech pc 10
Misumari bati 25kg...
Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha...
Juzi hapa nilikua na ka project ka nyumba.sasa nikafika kariakoo.kununua bidhaa.za rangi.kufika pale nikapiga piga window shopping wee nikajua binder ni bei gani.duka la kwanza nikapata kwa...
Wakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui...
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.
Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko...
nilipita sehemu mwaka juzi nikaona Ceiling nzuri kama hii. Nilipiga picha.
Watalaam twambieni inahitaji makario kiasi gani cha pesa Sitting room kama hii.
Fundi kama yupo tuanze kazi as soon as...
Siku njema wana JF
Kuna wakati unafika unaona kuendelea kulipa kodi kwa mama mjengo sio chaguo sahihi,, hivyo unachagua kuingia kwenye nyumba yako ikiwa bado haijakamilika.
Je, uliingia kwenye...
Karibu mwezi na kitu baada ya mke wangu kuwa na homework ya kutafakari umiliki wa nyumba niliyojenga kwenye kiwanja chake sasa amefunguka na kusema atapendelea tuandike Majina yetu wote (Mimi na...
Habari nahitaji Ramani ya Chumba kimoja sebule na jiko , iwe simple not complicated
NB ukiwa maeneo ya Morogoro ni contact tuonane
Naomba approximation YA HII NYUMBA YA CHUMBA KIMOJA SEBULE NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.