KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Naona wadau wengi wa Katiba mpya wanaipigia chapuo Rasimu ya Jaji Warioba Ndio najiuliza kwanini huyo Rasimu isipitishwe tu kuwa Katiba mpya? Maana Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na zitto kabwe...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida. Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Kwa maoni yako binafsi bila kuangalia upo upande gani wa siasa, ukaambiwa utoe maoni yako juu ya upatikanaji wa katiba mpya ungechagua yapi kati ya haya: 1. Serikali moja, Rais wa JMT bila kuwepo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
930 Views
Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao. Leo nimeona nifafanue hili suala la katiba mpya ili angalau wafuasi wa CHADEMA waelewe kwamba wanachofanya kwa...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua...
1 Reactions
0 Replies
567 Views
Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya. Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza...
6 Reactions
101 Replies
6K Views
Wale wanaopinga katiba mpya huwa wana hoja hizi; 1. Katiba Mpya ni gharama kubwa sana. Tufafanulienei ni gharama kiasi gani? 2. Katiba mpya haitaleta pesa mfukoni au chakula mezani. Katiba ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake...
3 Reactions
5 Replies
989 Views
Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mambo 20 yaliyoachwa kwenye rasimu ya katiba - By PolePole MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO. Katiba...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Nafikiri uchaguzi wa mwaka 2020 tume yetu ya uchaguzi ilishindwa kuwajibika katika kuhakikisha Nchi inapata wagombea sahihi kwa vyama vyote vya siasa. Tume inawajibu wa kutoa elimu kwa wagombea...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Wakuu Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini. Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada...
2 Reactions
4 Replies
904 Views
Mchakato wa kudai katiba mpya ni mchakato muhimu sana, ambao kwa maoni na mawazo yangu ni muhimu ufanyike kukiwa na elimu kubwa sana ya uraia miongoni mwa wananchi. Kwa bahati mbaya wanasiasa...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Ukisema hatA kama ulikuwa ni CCM kindakindaki, unakuwa mpinzani. Unatakiwa uwe mnafiki kusifia kila kitu Hivi;- Kuonyesha nyala za serikali ndio kuifungua Nchi - Kuonyesha hazina yako ndo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ardhi si mali ya Muungano: "Mwanasheria anena na JAMHURI" "Sheria ya Ardhi ya Zanzibar ya mwaka 1992 hairuhusu mtu asiye Mzanzibari (wakiwamo Watanganyika) kumiliki ardhi Zanzibar."...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Ndugu wanabodi habari zenu!! Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana...
0 Reactions
4 Replies
938 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…