KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Namuona Ndugu polepole hapa chanal 10 akiwa live mchakato wa Katiba Mpya
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamo wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Aboud Jumbe Mwinyi, alilazimishwa kujiuzulu katika Mkutano Mkuu wa...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Ni baada ya kutoka bunge la katiba kwa mbwembwe na kiburi kama timu ya mpira iliyofuzu mashindano huku wakijua na kuamini Watanzania wa sasa ni wale wa mwaka wa 47, wakaamini lengo lao la kutoka...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu, Kile kikundi kinachojiita UKAWA kimekuwa kikidai mara kwa mara kuwa CCM wana Rasimu yao mbali na ile ya Warioba, naomba mwana-UKAWA, mshabiki yeyote wa UKAWA au mtu yeyote atuwekee hiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ukawa ni taasisi isiyo rasmi kuna dalili kugawanyika habari za ndani zinasema baada ya kutoka BMK ukawa walizunguka baadhi ya mikoa kwa kutumia helkopta ya chadema nao wanadaiwa malipo cuf na nccr...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
muungano: Zanzibar + Tanganyika= Tanzania. Tanzania -Zanzibar= Tanganyika. Tanzania-Tanganyika=Zanzibar. serikali 1: serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. serikali 2: serikali ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maccm wanataka tutumie fedha zetu,wapitishe wanachokitaka wao,kweli wananchi wataikataa,baada ya hapo kinafuata nini....?hasara hii maccm wasivyo na huruma na watz hawaioni.....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kongamano la Jumamosi ijayo tarehe 2 August Ubungo plaza juu ya muafaka wa kuendelea kwa bunge la katiba august 5 Chini ya Jenerali ulimwengu,wakulima,wasomi. Wanasiasa wakae pembeni kidogo, Ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi na kutaka kujua wajibu mahsusi wa bunge la katiba baada ya UKAWA kutoka bungeni! Yafuatayo ni baadhi tu ya maswali ninayojiuliza: Maneno kurekebisha,kuboresha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hayo yamesemwa na Masheikh wa Mkoa wa Kigoma baada ya Swala ya Idd iliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Ujiji, Kigoma. Wanasema kuwa wabunge si mwamuzi wa mwisho katika mchakato wa...
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Any other way you stand accused.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi, Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira...
0 Reactions
872 Replies
74K Views
Eid Mubaraka.... kwa uzoefu wangu wa hovyo.. natabiri UKAWA kurudi bungeni tena sio muda mrefu.. Tena unajua wana hamu sana ya Kurudi sema tu wako worried na kauli walizo tanguliza eti...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Zimebaki siku chache bunge la katiba lianze;kupatikana kwa katiba mpya ni mhimu sana katk maendeleo ya nchi,na katiba lazima ipatikane ili kuijenga nchi ktk misingi bora na imara kwa taifa...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
jana kwenye mdahalo kuhusu upatikanaji wa katiba mpya uliorushwa na kituo cha ITV, mjumbe wa kamati kuu ya CCM Steven Wassira alitoa takwimu ambazo zinaonyesha theluthi mbili ya Zanzibar kwa ajili...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
2 Reactions
45 Replies
5K Views
“Pamoja na yote yaliyotokea, sisi kama taifa, hasa viongozi wakuu wa taifa katika Serikali na vyama, tusishindwe kuandaa Katiba Mpya. Hatuna sababu ya msingi ya kushindwa,” alisema Butiku...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili swali la aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba kutoka zanzibar ilimtoa jasho Mzee Wassira mpaka akapandwa na jazba, akabaki kulia lia na kubisha kiugumu ugumu. Ushauri kwa CCM: Acheni ubabe wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Wakati Bunge Maalumu la Katiba linakusudia kufanyia marekebisho kanuni zake ili kuwabana wajumbe wa Bunge hilo ambao wamesusia kushiriki mchakato wa Katiba, wanasheria, wasomi na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, habali za asubuhi? Angalieni kipindi cha tuongee asubuhi Star TV. Naibu Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba anatoa Ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo Katiba Mpya. Vilevile yupo Deus Kibamba...
0 Reactions
165 Replies
13K Views
Back
Top Bottom