Wadau, katika hali isiyotarajiwa na wengi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amegeuka tena na kusema kuwa hawapo tayari kuendelea kuidai katiba mpya inayoandaliwa sasa na badala yake amesema...
Mwanza/Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM bara), Mwigulu Nchemba ameutaka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni ili kukamilisha Mchakato wa Katiba Mpya kwa...
Sita kama utaitisha bunge la katiba tegemea kupandishwa kizimbani kwa kosa la kuiibia nchi .Unagawaje posho kwa wajumbe wakati unajua fika kwamba bunge haliwezi kukamilika bila ukawa.
Mlilipana...
Kura ya maoni ya aina ya Muungano ipigwe kwanza kabla ya Bunge Maalum kuajadili rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Serikali.
Hatua hii itaondoa utata ambao unaweza kukwamisha katiba mpya au...
Wanaukumbi.
Mwenyekiti wa Ukawa Freeman Mbowe amedai kuwa kama bunge la katiba litang'ang'ania kujadili rasimu isiyo ya kamati ya Warioba mwezi ujao sasa WATAANDAMANA NCHI NZIMA.
Akizungumza...
Wadau,
Katika hali ya sintofahamu kutokana na taarifa zilizonifikia hivi punde kutoka kwa mdau wangu wa Lumumba ni kuwa Mh. Wassira hatohudhuria mdahalo ambao unategemewa kufanyika katika Hotel...
Njoo Tujadili na tutafakari hatma ya mchakato wa katiba mpya kwa manufaa ya taifa letu NKURUMAH UDSM Jumapili 27.07.2014 kuanzia saa 8 mchana hadi 12 jion litarushwa live star tv.Dk. Kitila...
Ndugu wanajamvi kutokana na sintofahamu katika mchakato wa katiba ni dhahiri sada dr shein anaogopwa ndani ya ccm.
Miongoni mwa viogozi waliopendekezwa na Ukawa na viongozi na wasomi wengine...
Inawezekana nina tatizo kubwa la kuwaelewa baadhi (na wengi) ya wasomi na wanaoheshimika sana na umma wa Watanzania.
Nashindwa kuwaelewa wanaposema UKAWA warudi bungeni bila kugusa kiini cha...
Ni Mdahalo utakaofanyika Serena Hotel mnamo tarehe 27/7/2014.
Washiriki watakuwa,pamoja na wengineo, Prof.Ibrahim Haruna Lipumba,Wakili Msomi Tundu Antipas Mughway Lissu, Ndugu Stephen Wassira...
Nimemsikia Sitta leo katika kipindi cha Nipashe (radio One) asubuhi akisema Bunge Maalum la Katiba litaendelea tu kwani nchi haiwezi kuwekwa rehani na watu wachache (yaani Ukawa).
ninavyomuelewa...
Natoa wito kwa watanzania wote wanaojithamini na kithamini nchi yao,kugoma kwa namna yeyote ile kama ccm wataendelea kuwapuuza kwa kutupilia mbali maoni yao kuhusu katiba mpya.
UKAWA wanaweza...
Wakuu,Jana usiku kwenye taarifa ya habari ITV ya saa mbili usiku, kulikuwa na mama mmoja mjumbe wa BMK huko MOSHI alinistaajabisha sana kwa kueleza kuwa KATIBA inayojadiliwa ni sehemu ya mbinu za...
Leo nimesoma kwenye gazeti la Nipashe Kitila Mkumbo akitetea rais alivyoingiza msimamo wa CCM siku alipozindua Bunge La Katiba. Nipashe limeandika hivi:
Dk. Mkumbo alisema anaunga mkono hatua ya...
Ni siku chache zimesalia wabunge wa bunge maalumu la katiba kurejea bungeni, wanaenda kukamilisha kazi ambayo inasubiliwa kwa hamu na watanzania kupata katiba mpya ambayo kwa mara ya kwanza katika...
Katika hali ya kusikitisha Ukawa wameshindwa kujitambua kuwa wao siyo wa mwisho kwenye Rasimu ya Katiba. Hili ni agizo kwa Ukawa: Warudi Bungeni kisha tutachambua wenyewe wakati wa kura za maoni...
Sitta must admit consensus is lacking on constitution writing
By Editor
26th July 2014
Editorial Cartoon
Debate is raging among sections of civil society and political stakeholders as to...
Samwel Sitta na wajumbe wa BMK wanajua kabisa mioyoni mwao kuwa mchakato wa katiba mpya umevurugika na hakuna uwezekano wa kupata katiba mpya bila maridhiano.
Wanachofanya ni kufuata posho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.