Siku za karibuni kumekuwa na jitahada nyingi hata kuhusisha viongozi wa dini kuingilia kati kuhusu mustakabali wa mchakato wa Katiba ambao umesusiwa na UKAWA.
Jambo hili ni jepesi sana kwani...
Wakuu katika hali ya kutia simanzi na hasira,jana spika wa BMK Mh.Sitta amewakimbia waandishi katika kikao kilichopangwa kufanyika saa 5 asubui.Kikao hicho ilikuwa kutoa brief ya muafaka wa kikao...
Wanajamii Zidumu Fikira Za Mwenyekiti.
Baada ya Watu wa Kada mbalimbali kumshutumu Rais Kikwete kuwa ameliharibu bunge la Katiba Mpya, Hali imekuwa tofauti kwa Wadau Wengine ambao wamewasakama...
Ndugu wanajamvi, taarifa ambayo sasa ipo wazi ni kwamba CCM wameamua kutumia UDIKTETA katika mchakato wa katiba utakaoanza tarehe 5 August.
Wameamua kubadilisha kanuni ili waendelee na mchakato...
Hii laana ya kuvuruga bunge la katiba imesababishwa na kikwete mwenyewe ndo mtu wa kwanza kwa kuwa kigeugeu kusaini rasimu baadaye kuja kuikana pia samweli sitta na makamu wake Samia.
Kushindwa...
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya mkutano wa Bunge Maalumu la Katiba kuanza tena mjini Dodoma, giza nene bado limegubika, huku kukiwa na...
TUMWOMBE MUNGU ATUPE UELEWA WA PAMOJA WA MANENO, NCHI, TAIFA, SERIKALI NA KATIBA ILI TUPATE MUAFAKA WA KATIBA YA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Na A.S. Ulanga, Tel: 0784 283520...
Ni baada ya kushindwa kufikia muafaka wa maridhiano. Kamati imeamua kuendelea na bunge la katiba endapo UKAWA hawatarudi bungeni agosti 5. Pia wamedai kuwa wataenda kuwashtaki UKAWA kwa wananchi...
Wamesema ktk kikao cha wazee wa kizanaki mbele ya chief Wanzagi kwamba kauli za kimkejeli na kumchafua baba wa taifa mwal Nyerere si za kizalendo na hazipaswi kutolewa na vijana wasomi waliosoma...
Dar es Salaam. Kikao cha mashauriano kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kinatarajiwa kuanza leo lakini wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...
Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu wake, Samia Hassan Suluhu, kuteua wajumbe 30 wa Bunge hilo kuunda Kamati ya Mashauriano, wajumbe...
Wakuu,
Mpaka sasa kile kikundi kisichosajiliwa na kinachojiita "UKAWA" kimeweka sharti kwamba watarudi kwenye Bunge Maalum la Katiba tu endapo ile Rasimu ya Pili ya Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Joseph...
Leo kuanzia muda wa saa mbili usiku hadi saa tatu na nusu usiku nitakuwa kwenye kipindi cha Mchakato wa Katiba Mlimani Tv.
Critical Thinkers wote mnakaribishwa tujadili pamoja hapa ndipo mahali...
Arusha. Agosti 5 mwaka huu, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanatarajiwa kuanza kukutana tena mjini Dodoma kujadili rasimu ya mabadiliko ya Katiba. Kikao cha Bunge hilo, kinatarajiwa kufanyika...
Kama tunaandaa katiba ya kudumu miaka 100,ili kuduimisha amani na uwiano sawa wa maamuzi ya wananchi kuna haja ya kuwa na kipengele hiki.
Tanzania ni yetu sote hivyo kungoongoza tu kwa kuwa na...
Kuna baadhi ya watu ambao kwakweli ni vigumu kuamini uwezo na uelewa wao kwa mambo makubwa kama katiba ya nchi. Baadhi ya viongozi na wanasiasa na haswa wana ccm na serikali wanataka ukawa warudi...
Siku za karibuni kumezuka viongozi kadhaa Wa kadha Wa wengi wakiwa ni wadini wakitaka ukawa warejee bungeni eti wasikwamishe katiba mpya.!!!
Wengine wameenda mbali Kwa kulaumu ukawa eti kuwa ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.