Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba.
Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu.
Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea...
Wapo wenzetu ambao kila wakisikia madai ya katiba mpya, wanadhani tunataka kùgombea na kuchaguliwa au kuchagua tu. Hawaachi kusema tuna uchu wa madaraka ilhali wao ndo ving'ang'anizi wakubwa, ruba...
Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya.
Haya...
Facts
- Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za...
Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF.
Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa.
Madai ya Katiba Mpya ni nani...
Tume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na...
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache...
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli
Ikiwezekana...
Ndugu zangu, katika rasimu hii mpya ya katiba kuelekea katika mchakato wa kupata katiba suala la ardhi halijatolewa ufafanuzi wa kutosha. Nini maoni yenu wanajamii?
kitu ambacho nchi nyingi ukiona mmoja kumbeba mwenzake basi ni hizi sehemu mbili ambazo zina lindana kwa sababu zao binafsi.
hizi sehemu mbili zikitenganishwa na kuwa azifungamani kushirikiana...
Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa...
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba...
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha...
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT.
Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza...
Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi...
Katika madahalo wa Twitter Spaces wa Maria Sarungi, Tundu Lissu ameongea mambo mengi juu ya duru za siasa ya Tanzania na mistakabali wa chaguzi ya 2020 na nini kifanyike kabla ya 2025.
Likaja...
Wasalaam wakuu,
Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu...
Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a...
Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae...