KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
akichangia mawazo yake katika mhadhara ulionendeshwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) uliofanyika Jumamosi Mei 18, Profesa Kabudi ambaye alikonga nyoyo za wengi kwa kuongea kwa hisia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape katika viwanja vya Gombani ya Kale, Pemba. http://youtu.be/gSl5Pl-1Eh4 http://youtu.be/fzSI6nDlYds Katibu Mkuu wa CCM, Ndg...
0 Reactions
85 Replies
12K Views
WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu ninakataa kwa herufi kubwa kabisa kuwa ccm hakina vijana wasomi Ccm kina watoto wa viongozi ambao kichwani ni hewa tupu wapo wengine juzi tumeona hawawezi kujieleza wala kujenga hoja kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Makamanda wa UKAWA!! Ile Siku Tuliyokuwa Tukiingoja Kwa Hamu Hatimaye Imefika,. Timu ya UKAWA Ikiongozwa Na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Itarindima Leo Katika Viwanjwa Vya Matarawe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Inasikitisha sana. Unamkuta mtu msomi kabisa na wengine ni watumishi wa Mungu, lakini wanaeneza uongo wa wazi kabisa kwenye mikutano yao inayoendelea. Wanasema eti watanzania wote walitoa maoni...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo UKAWA tuko mjini Musoma. Katika kunza mkutano yamefanyika maandamano makubwa yakianzia katika hoteli ya Mara Paradise. Angalia picha hapa.
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama mtanzania unaependa mabadiliko unapendekeza jina gani kwa umoja huu wa upinzani unaoelekea uchaguzi mkuu. Sifikiri kama jina UKAWA linaleta maana nje ya katiba mpya, ni vizuri jina...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimesikia viongozi wetu wanakuja uku lakini taarifa haijakamilika na tofauti ilivyozoeleka kuwa na hamasa kubwa ya mikutano ya siasa wakati huu taarifa hazijasambaa vema kabisa. Ebu mnijuze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona kwenye vyombo vya habari mara kadhaa viongozi wa dini wakiwaambia ukawa warudi Bungeni akiwamo Shekhe Isa Salum na Askofu Sendoro na wengineo.Hivi hawa viongozi kuna ambae amewaita Ukawa...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
  • Poll Poll
click this link to caste your ballot; :busu http://poll.pollcode.com/52594856
0 Reactions
0 Replies
873 Views
.. WAKATI mjadala mkali ukiendelea juu ya muundo unaofaa kudumisha Muungano wa Tanzania; CCM ikiwa imeshikilia muundo wa serikali mbili na Rasimu ya Pili ya katiba inayotokana na maoni ya...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Mjadala unaoendelea nchini kuhusu rasimu ya katiba mpya iliyoandaliwa na Tume ya Warioba iliyoundwa na Rais Kikwete kwenda sambamba na rasimu ya CCM isiyorasmi kuingizwa kwenye bunge la Katiba ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi mbona television ya taifa hawa rushi mikutano ya ukawa? Kwani shirika hili haliendeshwi kwakodi za wana ukawa kama watanzania wanao lipa kodi?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Rush to salvage Tanzania's constitution review as deadline draws close Tanzania Constitution Council picks Kenyan lawyer PLO Lumumba to lead talks, warring parties at CA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendo cha kada maarufu wa CCM na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),Jaji Fredrick Werema kumtaka mbunge kutoka Zanzibar akaulize swali kwenye bunge la nchini kwao (BLW) ni ishara tosha kwamba CCM...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Umoja wa Katiba ya wananchi ni vuguvugu jipya kuwahi kutokea Tanzania, kitendo cha vyama vikuu vya upinzani kuwa pamoja ni tendo jema lenye mwelekeo wenye nguvu kuiondoa CCM madarakani lakini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutakuwa na mdahalo wa Tanzania tunayoitaka siku ya Jumapili pale SERENA HOTEL (Zamani Moevenpick) ambao utarushwa moja kwa moja na ITV/Radio 1. Wahusika wakuu watakuwa Makatoibu wakuu wa vyama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uwama inabidi washiakiwe kwa kujihusisha na siasa,huku likitumia mgongo WA ikulu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni mara baada ya Vincent Nyerere kumaliza kutoa ufafanuzi wa hoja za wachache katka kamati namba 8. Kabla tu ya bunge kuahrishwa gafla umeme ukakatika na giza nene kutawala mpaka mwsho wa shuguli...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom