KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Sana jamvi,kitendo cha John Komba kumtolea matusi jaji mstaafu mh,Joseph Warioba bungeni juzi kwa kumuita kuwa ana upungufu Wa akili na maneno mengi ya kashfa ni cha kulaaniwa na jamii ya wapenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau popote mlipo tunaomba picha na taarifa za ukawa huko waliko
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mbunge wa viti maalum martha mlata akichangia mjadala katika bajeti ya wizara ya sheria na katiba bungeni hivi punde, amesema kuwa wabunge waliotoka bungeni na kususia vikao vya bunge huku wakiwa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
umoja wa katiba ya wananchi UKAWA,Tumaini la watanzania wafanya mkutano mkubwa makambako, mchumi wa dunia prof lipumba akiongozana na makamanda wa chadema, cuf na nccr mageuzi,wakitoa elimu juu...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Mh Aggrey Mwanry anapotosha bunge kwa kusema katumwa na wananchi wa siha serikali mbili. Tuna kata 12 vijiji 39 vitongoji 109. Sasa wewe muongo ulikaa na wananchi wa kata ipi kati a hizo,kijiji...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Stephen Wassira amewatisha wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwamba wasiporejea bungeni, kanuni zitabadilishwa na Bunge...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mheshimiwa Lukuvi kwa mara nyingine amesema maneno yanayochoma sana bungeni muda huu. Amesema kuwa wabunge wa UKAWA wanasema kuwa wana mkanda wa video unaomuonesha Lukuvi akileta uchochezi wa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Ladies and gentlemen, let's be frank here, the proposed three tier government structure is not compatible with the country's dream of joining its neighbours in political matrimony. is it possible...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KIONGOZI wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurejea kujadili...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Angalia picha ya mwanzo wakati waasisi wa Muungano wa Tz walipokuwa wanaweka saini mkataba wa Muungano. Na picha ya pili wakati wanakabidhiana nyaraka hizo. Jee hamuoni kuna kitu kimekosekana.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni katika mkutano uliyo fanyika katika manspaa ya iringa ukiongozwa na na mbunge wa iringa mjini na prof Ibrahim lipumba.
1 Reactions
51 Replies
7K Views
UTANGULIZI Najitokeza kuandika walaka huu huku nikitambua ya kwamba Rais Nyerere alisema maadui watatu wa taifa ni ujinga, maradhi na umaskini lakini mimi Kaberwa nasema maadui wetu ni uvivu, uoga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Arusha. Kero za Muungano zimetokea kuwa msamiati maarufu katika siku za karibuni nchini, hasa pale ulipoanza mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.Wengi wamekuwa wakieleza kuwa kero zipo lukuki...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Hoja za mh.Lissu akitetea muundo wa serikali 3 zilizingatia maandiko na tafiti za Mwakyembe na wengine. Mh.Mwakyembe alikanusha hoja za T. Lissu wakati Lissu amenukuu maandiko hayo kwa sawia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Wana jf habari za mchana,mda huu shamlashamla za ukawa ndo zimeanza watu wana miminika kwenda kwenye mkutano kusikiliza sela za ukawa viwanja vya shy com by mm mwenyewe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukifuatila vyombo vya habari hapa nchini utabaki unashangaa, viongozi wa UKAWA wako field mikoani wanatoa elimu ya uraia kwa wananchi lakini hawaripoti habari zao, cha kushangaza Kinana anaefanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nauliza hiviiii.... Kwanini babu julius aliamua kuchanganya huu udongo wa unaoitwa muungano wa tanganyika na zanzibar akiwa peke yakeee???? Je mzee karume alikuwa wapi?? Maana hata kwenye hii...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu naweletea picha na matukia live kutoka katika mkutano mkubwa wa UKAWA katika viwanja vya Kwaraa Babati mjini. UKAWA ni moto
1 Reactions
6 Replies
38K Views
katika miaka ya karibuni nimegundua viongozi wengi wa ccm ni wababaishaji. Mfano mzuru ni nape nnauye-katibu mwenezi pamoja na paul makonda. Embu wataje wengine ili tupate kuwajua..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom