KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Maandalizi ya mapokezi yanaendelea sasa
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hakuna haja ya kuendelea na mchakato huu kwani umeleta mifarakano isiyo ya lazima na pia umeibua siri nzito ambazo zina athari kwa amani na ustawi wa taifa letu. Haikuwa sera ya ccm kutunga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ndio iwe slogan ya ukawa kwa upande wa Tanganyika. Haya mambo ya serikali mbili au tatu hayana impact ya moja kwa moja kwa watanganyika kwa sababu wengi wanadhani mambo ya zanzibar hayawahusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ujinga-Kawaida Ya Wapinzani==Actor Lusinde LUSINDE AKIHUTUBIA KIBANDA MAITI ZANZIBARI - YouTube
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninaamini Rais Kikwete alikuwa na nia njema ya kuacha historia ya Kuandika Katiba mpya, lakini kwa bahati mbaya amezidiwa na Chama chake CCM Rais wangu jk kuna watu upo nao ndani ya chama na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo kuna mkutano wa UKAWA leo hapa moshi, wameanza wawakilishi wa vyama vya NCCR-MAGEUZI,CUF Ngazi za mkoa
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Helkopta ndio inafika... Muda si mrefu kikao kitaanza
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA katika mkutano wa Aprili 30, 2014, pamoja na mambo mengine, alinukuliwa na gazeti la Mwananchi la Mei mosi, 2014 akiwaeleza wananchi wa Zanzibar kuwa...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Wanabodi. Kanali huyu wa zamani wa JWTZ Abdulrahman Kinana amekuwa na tabia ya kwenda kinyume na matakwa ya Chama Chake na Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete. Nikifikiria anavyohutubia wanachama...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tulio wengi wanaotaka mabadiliko nchini tunafurahishwa na movement zenu na tumepata tumaini jipya kuelekea mabadiliko ya kweli. Lakini tuna kila wasiwasi kutokana na uzowefu wa nchi hii pale...
2 Reactions
6 Replies
974 Views
Mbunge wa Wawi Hamad Rashid amesema UKAWA ni Boko Haram,wanaeneza chuki serikali inawangalia tu. Source: magezeti asubuhi rfa
4 Reactions
98 Replies
9K Views
Wana Ukumbi, Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na...
1 Reactions
69 Replies
8K Views
Wafadhilaka si wasaidaka ni wapundaka. Bi Asha Bakari Zanzibar ingekuwa kama hong kong.Juma Duni Mbowe na Jussa wanataka kuleta Ushoga. Mwigulu Nchemba. Kwa tabia hii mhe mwenyekiti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza Nianze Kwa Kutoa Onyo Kwa Wanasiasa Kutokana Na Mchakato Wa Katiba Unavyoendelea Bunge La Katiba Yatawatokea Puani Kwa Sababu Ya Mitazamo Yao Kuwa Mbele Kuliko Ya Wananchi.
0 Reactions
0 Replies
979 Views
V/S Kitendawili cha kuichanganya CCM kuanza kuishiwa pumzi katika kuongoza Zanzibar imefika baada ya UKAWA kuanza kulegeza nguvu ya CCM kwa kuunganisha nguvu kwa vyama vikuu vitatu vya upinzani...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Fuatilia Link ya youtube umuone Mh. Moh'd Razza mwakilishi wa CCM kule Zanzibar alivyokuwa kwenye semina za makongamano kule Zanzibar kabla ya Bunge maalum la Katiba lakini Bunge la Katiba akaamua...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
UKAWA! UKAWA! UKAWA! Tarehe 14/05/2014 Moshi mjini, 15/05/2014 Babati Manyara, 16/05/2014 Arusha mjini, 18/05/2014 Musoma mjini, 19/05/2014 Tarime Mara, 20/05/2014 Bunda Mara, 21/05/2014...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naungana na wananchi wazalendo wa taifa ili,kuwapongeza [UKAWA] kimsingi nawapongeza,profesa Iibrahim Haruna Lipumba,ndg James Fransiss Mbatia,ndg Freeman Aikaeli Mbowe,Christoper Mtikila,na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jumuiya ya uamsho zanzibar kwa kipindi kirefu kikundi hichi kimekua na nia ya kuikomboa zanzibar koloni la muungano. si support kuchoma makanisa au nyumba za wakristo na watanganyika, lakini mimi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom