Kwanza inabidi tukubali kuwa CCM walifanya kosa kubwa saana la kuiba uchaguzi kishamba last year. Kupitia wizi ule ndo maana wazo la katiba liliibuka na kwa hali ilivyo sioni wa kuuzima huu Moto ...
Naendelea kuwasisitiza watanzania wenzangu, jitahidini kusoma Rasimu ya Katiba Toleo la Pili, nasema hivi kwasababu ili muweze kuona tofauti kati ya Rasimu na Katiba inyopendekezwa ni lazima uijue...
Habarini wakuu,
Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu...
Katiba ni mwongozo au msahafu wa nchi uliotungwa na wananchi, ambayo ni sheria mama yenye msingi madhubuti wa kutoa mamlaka za kisheria zinazo akisi matakwa ya wananchi.
Katiba ya Jamhuri ya...
Tunaposema ZITTO na CHAMA chake Sio WAPINZANI ni pamoja na Kuamua Kudai TUME ya UCHAGUZI badala ya KATIBA MPYA.
KATIBA ndio kila Kitu hiyo TUME ya Uchaguzi Waitakayo kina ZITTO lazima IONGOZWE na...
SURA YA SITA
MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO Ibara ya 60 Muundo wa Muungano
a. Maudhui ya Ibara
Ibara ya Rasimu ya Katiba inaainisha muundo wa Muungano wa Shirikisho la Serikali tatu, ambazo ni...
Nchi yetu hii ilifikia hatua nzuri sana ya watu kuwa huru kutoa mawazo yao,bahati mbaya baada ya Jakaya Kikwete kutoka madarakani tulianza kutunga sheria kali dhidi ya wenye mawazo kinzani.
Wenye...
Wanabodi, Mada hii ni kutokana na kongamano la kujadili siku Mia moja za Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Wasimamizi wa taasisi zote kwa kuzitaja TRA, Bandari, TCRA na Uhamiaji wamejitokeza kwenye...
Spika anajiuzuru anaandika barua kwa katibu mkuu wa ccm na sio Katibu wa Bunge.Katiba haioneshi chochote.
Spika anapendekezwa na mwenyekit wa chama ambaye ni mkuu wa mhimili wa dola.Katiba...
Kipindi kirefu viongozi wa upinzani wameshupaza shingo kuhamasisha uhuni wa maandamano dhidi ya serikali halali ya nchi yetu.
Nafikiri muda umefika sasa na najua viongozi wote wana watoto wakubwa...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Katiba mpya ndio mjadala mkubwa kwa sasa
Lakini kama haya mambo ndio yenye gumzo kubwa basi uwepo wa katiba mpya ni swala la lazima na sio...
Wadau kumekuwa na nguvu kubwa inayotumiwa na watawala kupitia jeshi la polisi kuwakamata wananchi wanaodai katiba mpya.
Najiuliza kama wananchi walishirikishwa kutoa maoni na mapendekezo yao...
MALUMBANO YOTE MSINGI WAKE MKUU NI KATIBA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na majibizano na hoja nyingi zinazoibuliwa na baadhi ya watu Mashuhuri. Majibizano haya yamezua mijadala mikubwa...
Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba.
Napendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba...
Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais.
Mimi naona haya...
Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri...
Wadau kati ya katiba iliyopo na tume ya uchaguzi tatizo kubwa ni katiba iliyopo
Hata ikatokea Mh. Zitto kabwe akateuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atake asitake lazima atatii maagizo ya...
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania...
Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2).
(..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..)
N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno...
Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya.
Sababu zangu:
1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe...