Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi...
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa.
Prof Shivji amesema wanasiasa...
Mchakato wa katiba bado unaendele na huu ni ujumbe wangu kwa leo.
1.CCM na UKAWA,mbona mwazidi vutana ?.
Bado mambo hayajawa,mnaanza kamatana.
Mtaweza kutugawa,na nchi mtaichana.
Tusitumie...
Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya.
Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha...
Wanajukwaa,
Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
Habari zenu,
Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba...
Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba...
Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya...
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama...
Hakika haiingi akilini kuona viongozi wa CCM ndio wako na vipaza sauti wakipinga Upatikanaji Wa Katiba Mpya kwa kisingizio cha tunajenga uchumi na eti Wananchi wanataka Elimu Maji na MaDawa
ujenzi...
Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo.
Bavicha inaendelea na makongamano nchi...
Hapo sikuwagusa CCM kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao, ni ya watanzania wote walipa kodi.
Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja wa Chato maana baada ya kifo cha...
Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta.
Hata hivyo vipi katiba...
Kuna hali fulani hivi inaendelea ndani ya chama dola ambapo sitaweza kuizungumzia au kuandika hapa kwa kuwa nimezipata kama fununu tu mahali fulani kwa hivyo sina uhakika nazo sana.
Ila nikasema...
Vijana ndio dhamana ya ccm Alphonce Muyinga ( Alphanga black) akiwapa nasaa vijana wenzake wa jimbo la Ushetu katika uchanguzi mdogo utakao fanyika tarehe 9/10/2021
Nipo katika hatua ya mwisho sasa kufanya maamuzi magumu kama hamtaniunga mkono basi nitaandamana peke angu potelea pote.
Ninafadhaika sana kuona nchi yenye maliasili zakutosha lakini tangu uhuru...
Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?
THURSDAY AUGUST 19 2021
Summary
Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu...
Wana bodi,
Katika pita pita zangu niki tazama hali ya siasa nchini ikiwemo kesi inayo mkabili Freeman Mbowe na mbinu zinazo tumiwa na wana CHADEMA kudai katiba mpya, nime jiuliza maswali ambayo...
Kwa Sasa Ni ndoto ya wachache Ila kwa sehemu kubwa Ni kero kwa wanufaika. Watatakaje katiba mpya wakati wananufaika?
Watatakaje katiba mpya wakati wanaona Raha na kufurahia tu madaraka...
Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais...