KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022. Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mengine yote yatakupotezea muda mwisho wa siku hao hao wenzako watakupiga na chini na maneno kibao, hawana kheri hao Jambo moja Rais Samia la kuwafadhaisha hao wanaokusogelea ambao hawana ukweli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Habari wanajukwaa!! Naona kuna vuguvugu (fukuto) la aina yake hapa Nchini la Madai ya KATIBA MPYA likiongozwa zaidi na kundi la Chama cha Siasa (CHADEMA). Mimi pia ni muumini wa kuunga mkono...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Jumapili njema wakuu! Huu ndo ukweli wenyewe! Kwa kengo lile lile la CCM kutawala raia wasio na elimu, ndiyo chanzo cha nguvu kubwa ya kuzuia elimu ya katiba mpya isisambae kwa raia kwa kukataza...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Naona kuna dalili za kuyahepesha madai ya katiba mpya na haswa tume huru ya uchaguzi, kuna harakati zimeibuka kutoka kusiko julikana na ni nyingi na zinakuwa kama moto wa nyasi kavu. Lengo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu. Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Wakuuu najaribu kuwaza kwa mapana, Tanzania tunatumia KATIBA ya mwaka 1977 na huu ni mwaka 2021. Malalamiko ni mengi mno kutokana na KATIBA ya OVYO. Je, Watanzania siku wakifahamu hili suala ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mambo baadhi alikuwa anakatisha njia ya mkato bila ya kupitia Bungeni, hivi mnajiuliza kwa nini ? Bunge hili Msilitegemee kuwaletea maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli hakulipa umuhimu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni...
14 Reactions
248 Replies
16K Views
Katiba haiwezi kuwa juu ya Mwenyezi Mungu....." "Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,Nyerere ndio alitaka"-Jaji Mstaafu,Robert Makalamba katika semina ya mawakili wanaotetea Haki za...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa. Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Thursday August 19 2021 Na Daniel Mjema Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…