Akiongea kwa hisia, akionesha kuwa kama siyo "Gender" wanawake ndo basi, kanikatisha tamaa. Nilikuwa ninamfikiria ni shupavu, mwenye uwezo wa kushika wadhifa wowote nchini kwa uwezo wake, Mhe...
Leo mtoto hatumwi dukani.Leo, asiye na mwana aeleke jiwe.Leo,ukigeuka nyuma unakuwa jiwe la chumvi.Leo,macho mbele kama tochi. Leo,masikio na macho ni marafiki muhimu. Leo, kila kitu kina...
Na Salome Kitomary 7th March 2014 Dk. Harrison Mwakyembe.
Bunge la Katiba limeamua kuweka kitanzi kwa uhuru wa wananchi kupata habari za mchakato wa Katiba Mpya, kwa kuwazuia waandishi wa...
Nimekutana na Hotuba ya JK TBC haikuwa Live ila.Ila kipande nilichokisia ,nimeweza soma mood na mind ya JK..ni wazi kuwa JK alikuwa akiongelea jinsi CCM ilivyoshindwa ktk hili,na mipango yao...
Inaelekea watu hawakuelewa sana somo langu kuwa uhuru hauna mipaka ..Na uhuru unakwenda sambamba na wajibu.Hapa ndipo kichwa cha CCM hakipo. Hili somo lilikuwa gumu sana hadi kwa wana JF...
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Dr Benson Banna ambaye kwa mara nyingi uchambuzi wake umekuwa ukitiliwa shaka haswa kwa kuonekana kuegemea CCM na kuitetea serikali kwa kila jambo, leo...
Wasalam wana JF
Leo ningependa nitoe maoni yangu machache tangu Bunge Maalum la Katiba lianze Februari 18, 2014. Nimefuatilia mijadala michache sana kutokana na kazi yangu kunifanya nisipate muda...
Mwanasheria wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othuman Masoud, ametupilia mbali hoja ya mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Christopher Ole Sendeka, la kutaka hati ya Muungano...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika bunge la Jamhuri ya Muungano na sasa Bunge maalumu la katiba kupitia TBC. Kitu ambacho mimi nimeona ni kasoro labda mpaka hapo nitakapoeleweshwa ni kile...
Yaani baada ya mihangaiko ya siku nzima huwa nalingojea bunge la katiba kwa hamu kweli ...niweze kucheka na kutulizabakili ..
Kuliko niangalie comedy like futuhi na wakina Joti ni bora nifurahi...
Wakuu nimekiwa kwenye lindi la msongo wa mawazo mazito juu ya upatikanaji wa katiba ya umma,
Utata wa sheria ya katiba mpya.
Kwenye tafsiri ya kiswahili inatafsiriwa hivi:
1. Tafsiri ya...
Bunge letu la katiba linaelekea kutoa picha halisi ya ni jinsi gani watanzania tulivyo zaidi ya kuonyesha au kusaidia kuipata katiba mpya kama wote tulivyonuia. Ushabiki wa vyama na sera za vyama...
Haya ndo baadhi ya maoni ya baadhi ya hawa wabunge wa Bunge maalumu la katiba. Michango ni mibovu na mingine haina umuhimu kabisa, lugha mbaya na wakati mwingine bila staha, lakini wao wanasema...
Bunge la katiba liwe na lengo (milestone) ya kufikiwa kila siku.Waweke utaratibu kuwa kwa siku wajadili nini na lazima wamalize hata kama mjadala huo utakamiliki saa kumi alfajiri lazima...
kilio kikubwa kwa vijana ni ajira,fursa katika ngazi za kiuongozi na uhuru wa kusikilizwa na kutoa maoni,lakini rasimu haijazingatia haya tofauti na makundi mengine yamepewa majawabu ya kero zao.
Hali inayoendelea katika Bunge ni reflection ya namna tulivyowaachia wanasiasa kutufanyia kila kitu watakacho ili hali sisi tukichekelea !
Uwezo wa utambuzi wa Watanzania wengi uko chini sana ndio...
Mwenyekiti
Tokea umeanza KaZi yako ya kuliongoza Bunge hili la KATIBA Binafsi nimeshuhudia Hekima yako kubwa sana unaposhika usukani huu. Na hakika Kwa Kweli umetukumbusha Enzi Za Spika Adam...
Naomba kuwasilisha wadau. Sababu
-Elimu yake haina mashaka
-Uzalendo wake hauna mashaka
-Tumekuwanae wananchi akitupa elimu ya katiba tangu 2010 (Kupitia Makongamano ya katiba UDSM) n.k...
Dodoma. Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba, Februari 18 mwaka huu, wajumbe watano wanaonekana kuwa ndio wachangiaji wakuu katika mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo.
Bunge hilo...