Baada ya kutangaza kujitoa endapo leo jioni Ccm watapitisha kura ya wazi, tunatarajia wabunge wenzake wa upinzani kumuunga mkono. Swali ni je CUF, NCCR na wabunge wakuteuliwa hasa wake 201...
Ukimtazama usoni utakubaliana nami kuwa huyu sio mnyika yule,Amechoka Uso na masharabu yake yanathibitisha uzee umefika.
Kila alieangalia kipindi cha startv tuongee asbh leo Atakubaliana nami...
Je anachokifanya Mwenyekiti wa CHADEMA mh. Mbowe kwenye bunge la katiba ni sahihi.
Anachukua karatasi na kusainisha wabunge kwa lengo la kutafuta wanaounga mkono serikali tatu na kujiita Friends...
Nimesikitiswa sana na namna bunge linavyoendeshwa huku wananchi tukiwa hatuna access na taarifa mbali mbali na nyaraka Za wazi ambazo tunapaswa kuzielewa. Kwa nini wasiige Mfumo Kama wa tume ya...
Kuwa watu wachache kujifungia ofisini hapo Lumumba na kutoka na kikaratasi wanachookiita mbadala wa maoni ya mamilioni ya wananchi ni dharau na matusi kwa Watanzania.
Napendekeza mbunge mmoja...
kwa kuwa watanzania tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo, jambo ambalo limekoleza thamani ya udugu wetu, umefika wakati tuionyeshe dunia kuwa hatuogopani wala kutishana tunapotakiwa kupiga kura...
Wana JF,
Kila kukicha tunaaminishwa kuwa Serikali mbili ndiyo muafaka wa muungano na kero zake zinaweza kushughulikiwa. Ila mimi naona kila kukicha kero hizo zinaongezeka.
Kwenye bunge la katiba...
Mimi naomba nitoe ushauri ambao ninaamini utaondoa utata wa matumizi ya kura ya siri au ya wazi kwenye bunge la katiba, kwani naona hili swala linaleta mvutano mkubwa kwa wajumbe wa bunge. Kwanza...
Mchakato wa kutengeneza katiba mpya ndo umeanza, na mambo yana badilika kila uchao.
Katika mchakato huu wa kihisoria, pengine muasisi wa mchakato huu, Rais Jakaya Kikwete hatasahaulika na...
Kwa wale wanao fuatilia mchakato wa bunge maalumu la katiba washanifahamu. Kuna mambo yanayoendelea yanayoshadidisha kuwa mchakato wote wakutafuta rasimu ulikua Bure 1. Mtu ukiangalia kwa umakini...
Mchakato huu wa kupata katiba mpya umegubikwa na dossari nyingi tangu hatua za awali kabisa ikiwa ni pamoja utungwaji wa sheria ya mabadiliko ya katiba.
Hoja za msingi zinazonifanya nione hata...
Sitta Migiro Chikawe
Chenge baada ya kutouzika huenda akaweka jezi bagani
Wapambe wake waelekeza macho kwa Migiro na Chikawe
Sitta aendelea kuwa mwiba kwa kundi hilo
Kampeni za makundi ya...
Hii ni mitizamo chanya,na sababu zake za msingi ni kama zifuatazo:-
1.wanapata airtime ya kutosha.
2.watajivunia uzoefu bungeni.
3.ukaribu na wanasiasa wakongwe,
4.ladha ya ubunge[posho]...
Dodoma.
Waraka unaodaiwa kuandaliwa na CCM kwa ajili kuwaelekeza wajumbe wake kwenye Bunge Maalumu la Katiba kutetea msimamo wa Serikali mbili umepokewa kwa hisia tofauti huku Rais Jakaya Kikwete...
Ifike mahali tuwe wakweli na muungano wetu.
Kuna Faida gani kwa mtanganyika wa Kawaida anayoipata Ktk muungano huu? Nauliza hivi; kuna Faida gani kwa mzanzibar wa Kawaida anayoipata Ktk muungano...
Hiki kitu ni chukizo na kejeli kwa watanzania maskini!Achaneni na kutumia vibaya pesa za watanzania Siwa si muhimu!Tunataka katiba mpya
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nyerere alikuwa sawa kabisa maana alikuwa akipinga utanganyika na uzanzibar na kujali utanzania.ndio maana smz kawa na kwa ajili ya zanzibar tu na haitambuliki kimataifa. zanzibar ilikuwa ni...
Nimejifunza kuwa umoja ni Nguvu na utengano ni udhaifu.
Pili nikashangaa kuwa yote ya muungano wazanzibar wanataka yasiwe ya muungano nikashangaa
hawataki ulinzi na usalama iwe ya muungano...
Utafiti uliofanyika unaonyesha kuwa ;
wajumbe wa katiba mpya na wabunge wengi wao inaonekana wamepeleka misimamo binafsi .
Baadhi wa wananchi wamedai wabunge hawajafanya mikutano na wannnchi...