Wakuu
Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA
Tundu ni gwiji wa sheria nchini.
Mjumbe wa Bunge la katiba alielilia Ipad Bungeni amefahamika kwa jina la Suleiman Nchambi na hii ndio kauli yake.Ninamnukuu kama ifuatavyo;
"Dunia ya sasa imegubikwa na utandawazi ambao kuanzia...
WanaJF,
Tangu nimjue Dr Slaa miaka karibu 10 iliyopita, hivi sasa nimeanza kushuhudia mzee huyu kutandwa na ukimya wa kutisha.
Katika watu ambao sikutarajia wao kukaa kimya kuhusu suala la...
Tunajua sasa suala la posho ilikuwa mpango mahsusi wa wasiolitakia mema taifa kututoa kwenye mjadala wa msingi ambapo sasa ni kanuni za kuendesha bunge maalum la katiba.Sisi wananchi wa...
Amani kwenu wakuu,
Leo na kesho ni siku za mapumziko lakini pia zimeelezwa kama ni siku za kusoma kanuni tulizopewa ili jumatatu mijadala ianze rasmi ya kujadili kanuni hizi na kuzipitisha ili...
WanaJF,
Kwa muda sasa nimekuwa nikisikia wapinzani, to be specific, CHADEMA, wakiwa wanajigamba kuwa wazo la katiba lilikuwa lao na wameilaumu serikali kufuatia maamuzi yake ya kulitekeleza eti...
Ikulu imetoa taarifa ndefu kuhusu madai ya maaskofu wa pentekoste (PCT) kuwa wametengwa kwa mjumbe wao kutokuchaguliwa katika bunge la katiba licha ya kupeleka majina kwa rais.
Kwa ufupi ikulu...
Saturday, February 22, 2014
Diaspora ya Wazanzibari na Watanzania.
Katiba mpya itaonyesha!
Na Omar Ali.
Mwenyekiti wa ZADIA.
Jamhuri ya Muungano wa zilizokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na...
Suala la posho ya vikao kwa wanasiasa Tanzania limekuwa ni aibu tupu kwa Taifa, ndani na nje ya Tanzania. Imefikia hadi wanathubutu kudai TShs million moja kwa siku. Watalaam kama madaktari na...
Kwa ilivyo kwenye rasimu zote, mambo ya Muungano sio mambo ambayo yanamgusa mwananchi direct, na pia sio mambo ambayo Wananchi wa kawaida wana-ujuzi nayo! Hivyo si sawa Wananchi wenyewe direct...
Baadhi ya vyama vya siasa, wanaharakati na wananchi wa kawaida wameshangazwa na maombi hayo ya posho, wakisema wajumbe wamesahau kilichowapeleka bungeni na kukimbilia kutetea masilahi yao.
Vyama...
Bunge la Katiba halina mamlaka kisheria kubadili chochote kilicho ndani ya rasimu!Ukirejea katika sheria ya Mabadiliko ya Katiba Mpya iliyoridhiwa na Bunge la Jamhiri ya Muungano wa Tanzania na...
Pengine tumeitwa misukule na wakenya na wanyarwanda na waganda kwa kukaa kimya kuhusu malipo ya laki tatu kwa wabunge wa bunge la katiba.
Leo natangaza kama mtumishi wa MUNGU Kama mpakwa mafuta...
Wadau kwa yeyote mwenye ufahamu anaweza kusaidia hili ni wazi kampeni za uchaguzi mdogo zimeanza huko kalenga na tamati yake 15.3.2014 ambapo 16.03.2014 utafanyika uchaguzi wenyewe ..
sasa swali...
kwa kuwa tangu uhuru hajawahi tokea spika wa bunge la muungano kuwa mzanzibar.sasa ni wakati muafaka kwa zanzibar kupewa kit hicho bunge la katiba,
katungwe kautaratibu katakako hakikisha...
Written by makame silima // 21/02/2014 // Habari // 2 Comments
Kanuni hiyo imeweka wazi kuwa kupiga kura kwa mujibu wa masharti ya kanuni hiyo, itakuwa ni wajibu na haki ya msingi ya kila...
Asasi za kiraia zinazofuatilia na kuangalia mwenendo wa utendaji kazi wa bunge maalum la katiba linaloendelea mjini Dodoma Zimetishia kuusimamisha mchakato huo mahakamani ama kwa kushtaki kwa...
Kutoka ukurasa wake wa facebook,Mtatiro ameandika kuwa kuanzia Jumatatu atakusanya saini za wajumbe wa bunge la katiba wanaopinga kuongezwa kwa posho na kisha kumwandikia barua Raisi Kikwete...
Naomba kutoa maoni yangu,
Kwa sababu mara ya kwanza ilipendekezwa laki 7 ila tukapiga kelele kumbe nia yao ilikua hizo.Sasa naomba Julias Mtatiro na wengine mnajua Tanzania ni masikini kama...