KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kwa waliomsikia BBC. Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni. Nasema hivi wambieni kabsa nimesema...
3 Reactions
76 Replies
9K Views
Heshima kwenu Hoja ya wajumbe wa katiba kuacha walichopaswa kujadili KANUNI za kuendesha bunge la katiba na hata kuonyesha kilichowapeleka Dodoma ni katiba kama kipaumbele na sio posho kwa kuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tsh 300000 times 70 days times 600 members ni tsh billion 12.6 na ushee lakini kama watalipwa tsh 500000 kutakuwa na ongezeko la 8.4 tsh billion. embu wajumbe wa bunge la katika kuweni na huruma...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Habari wadau wa jf! Jamani kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia nionane na RAIS ili nizungumze nae aniteue niende kuijadili rasimu ya katiba bila malipo yoyote, nitatumia gharama zangu mwenyewe...
2 Reactions
5 Replies
914 Views
Katika kipindi cha radio one cha kumepambazuka leo kaojiwa dk benson bana kuhusiana na madai ya kuongezewa posho kwa wajumbe wa bunge la katiba.kwa maoni yake ni kwamba mjumbe anayeona posho n...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Kificho,kama mwenyekiti wa muda, ana mamlaka ya kuunda kamati ndogo kufuatilia swala la nyongeza ya posho kwa wajumbe wa bunge la katiba?Yeye kama mwenyekiti wa muda si anatakiwa kusimamia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nini kiliusumkuma Muungano kufanyika haraka, miezi 4 tu baada ya zanzibar kuwa huru? (April 1964). Jibu: Zanzibar baada ya kupata uhuru ilikuwa chini ya Sultani: Kwa sababu watu weusi walihisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waheshimiwa mimi ni mwananchi wa kawaida bali nilitaka kushirikiana na wanajamii kuwajadili wakulima au watetezi wa wakulima walioteuliwa kwenye bunge la katiba, wakulima kutoka wilaya gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posted Alhamisi,Februari20 2014 saa 9:6 AM KWA UFUPI Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa NLD - Zanzibar, Khamis Haji Mussa katika taarifa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari mjini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bunge la katiba limeanza leo jioni hii,na kulitokea dosari kubwa katika utaratibu wa kupiga kura ili mwenyekiti wa muda achaguliwe,binafsi kwa roho safi na bila ushabiki wa vyama napenda...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
"Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi. Tume inayongozwa na Jiji...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Waungwana, Mabibi na Mabwana, mwenye COPY YA KATIBA YA TANGANYIKA TAFADHALI. HASAWAA SOFT COPY, Mchungaji CRIS kanifungua kitu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sikuamini masikio yangu nilipohabarishwa kuwa huko Dodoma kwenye kikao cha Bunge la katiba linaloendelea kumekuwa na fununu za kuzuka kwa madai yale ya kuidai serikali ya Tanganyika ,na sasa ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatizo ni kuwa uchungu wa posho kwa wabunge au wizi wa fedha a umma hausikiki kwa Watanzania wengi. Yawezekana wapo wanaona haya ni mambo mabaya kiakili tu lakini si kimaadili. Mtu ambaye na...
2 Reactions
1 Replies
829 Views
tangu mjadala wa katiba mpya ulipo zinduliwa na rais ndani ya bunge,na kutopata baraka kutoka kwa wana ccm wenzake,hali imejidhihirisha hivi sasa baada ya bunge maalum la katiba kuanza vikao...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Jamani Tijiulizeni kama ma ccm yapo lukuki.kuna katiba mpya hapo kweli?au tunadanganyana?tujadili
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Dk Turuka anasema madai kwamba wa-pentekoste wamepuuzwa si ya kweli, anadai kwamba wamepitia record zao na hawajapata uthibitisho wa kuwepo mapendekezo yeyote kutoka baraza la maaskofu wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni wazi kabisa ccm imejipanga kuvuruga mchakato wa katiba mpya kwa kulazimisha maoni ya CCM ndio maoni ya watanzania wote.Naomba CCM itambue iko siku moja wataondoka madarakani kwa hiyo iache...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nimesoma na kusikiliza vyombo mbali mbali vya habari na mitandao ya jamii, Mh.6 anaonekana kukubalika zaidi kuliko wagombea wengine kutokana msimamo wake thabiti na ile slogan yake ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake facebook Mtatiro amesema hivi Julius S. Mtatiro NCHI HII ITAMALIZWA; Tunafahamu kuwa kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la katiba ati waongezewe fedha zaidi. Hoja hii...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Back
Top Bottom