KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Nashangazwa na kauli ya CCM kuingia bunge la katiba kwa misimamo ya chama chao kiasi kwamba wanasahau kuwa iliundwa tume ya kuratibu maoni ya wananchi kuwa wanataka katiba mpya iweje na nini...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Kwa anayejua naomba anijuze tafadhali maana asubuhi kupitia TBC 1 nilimsikia mtangazaji anasema bunge la katiba litaanza kurushwa sa 8,lakini mpaka sasa sa 8:37 sioni chochote zaidi ya kipindi cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..Mosi...Hongera kwa walioteuliwa kwenye bunge la katiba .....hata kama ni kwa kulipana fadhila.. ..Pili..nategemea mtamchagua mtu makini asiye na doa kiutendaji kuwa mwenyekiti wenu wa kudumu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama Uganda wameweza,kwanini Tanzania tusiweze bunge la katiba limeanza. Tunaomba wanabunge mtuweke wazi msimamo wa mashoga nchini mwetu. Wengi wanateseka lakini tukiwa na sheria imara upumbavu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna dalili kuwa hawa watu wanataka kuendelea kwa serikali 2 huku wakidhani mapendekezo ya serikali 3 si ya wananchi bali ni ya chama fulani wasichokipenda.Kwa hiyo kuunga kwao serikali 2 ni kama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu tumekuwa busy na katiba mpya,hilo ni zuri sana lakini tumekuwa busy na kipengere saana kimoja cha muungano na nahisi hata warioba nae akili yake iko busy kutoka siku anateuliwa mpaka leo busy...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saalam wakuu, naomba mnipe majibu ya aya maswali yangu machache.. 1.Tunataka katiba mpya ili iweje? 2.Ikipatikana itafanya bei ya umeme ishuke? 3.ikipatikana itafanya huduma za Afya ziwe nzuri...
0 Reactions
7 Replies
997 Views
Duuh ndani ya ukumbi wa bunge vioo ni bullet proof. Hii ni hatari.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na wajumbe wengine waliochaguliwa kwa kujuana leo kuna mjumbe mmoja aliruhusiwa kumuuliza mgombe nafasi ya Mwenyekiti wa Muda ndugu Kificho na kumuuliza: "Ndugu mgombea wa nafasi ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwakweli nimeshangaa siku ya kwanza tuu kuona madudu yanaliyofnywa na bunge la katiba leo .. 1. ETI KURA SABA ZIMEHARIBIKA .. KWELI MPAKA LEO WABUNGE NA KIKAO SERIOUS KAMA HICHO KURA...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Muda huu hapa Dodoma wabunge wa Bunge la Katiba wanajiandaa kuingia ukumbini huku suala la nani awe spika wa bunge hili likiwa ni kubwa kwa siku ya leo, Waheshimiwa Pandu, Sitta, Lisu...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
TBC1 Kukatisha matangazo kutola bungeni, chakushangaza wameweka miziki hivi hilo ndo shirika la taifa la utangazajiiii???? Start tv wamekuw wazalendo wanaonyesha hadi sasa . Nyie tbc1 kudadeki...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nadhani kabla ya kutengeneza rasimu ya kwanza na ya pili na hatimae kupatikanwa kwa katiba mpya, kwanza kabisa kulikuwa na haja ya kupiga kura ya maoni juu ya muungano kama raia wa pande mbili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na wajumbe wengine waliochaguliwa kwa kujuana leo kuna mjumbe mmoja aliruhusiwa kumuuliza mgombe nafasi ya Mwenyekiti wa Muda ndugu Kificho na kumuuliza: "Ndugu mgombea wa nafasi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika Bunge hili la Katiba spika atakuwa Anne Makinda na Bdugai au watachagua spika mwingine? Mwenye kujua atujuze. Kazi kwenu JF
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Wadau ni kituo gani kinarusha mkutano wa bunge la katiba.?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano!
0 Reactions
4 Replies
846 Views
Hatimaye bunge maalum la katiba linaanza leo.Hili ni bunge ambalo kwa namna moja au nyingine litatoa mawazo ambayo yatapelekea kupatikana kwa katiba mpya ya Watanzania wote.Katiba ya sasa imepitwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu mchakato nilishadokeza kuwa ni mchakato mbovu; hapa najaribu kuonesha jambo jingine. Mawaziri Wote na Manaibu Wao ni Wabunge wa Bunge la Katiba. Hapa nazungumzia Mawaziri wa Serikali ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom