KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi nyeti kama ya...
5 Reactions
113 Replies
12K Views
JANA watanzania pamoja na dunia nzima iliona jinsi ambavyo,mchakato wa kumtafuta Mwenyekiti wa muda katika Bunge maalum ya katiba mpya,ikiwa ni kikao cha kwanza,tangu mchakato wa Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Licha ya watanzania kulalamikia matumizi mabaya ya fedha za umma kupitia bunge la katiba ambako kila mjumbe analamba sh 300,000 kwa siku hivyo kumaliza bunge akiwa na sh milioni 21.Lakini leo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heshima kwenu. Nimejaribu kufutilia midahadala mabalimbali kwenye tv,radio,magazeti kuhusiana na katiba mpya.sijasikia wakijadili jambo lingine zaidi ya muundo wa serekali. Hata wanasiasa...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Ushauri wangu kwa Bunge la Katiba ni kuwa mambo ya serikali 1,2,3,4 yasubiri hadi baada ya katiba mpya kupatikana. Hii ni kwa sababu zifuatazo: 1. Kwenye hadidu rejea kwa Tume ya Waryoba suala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Itakuwa si haki kwa serikali na TBC yetu, mali yetu tunayoilipia kodi kutokurusha bunge letu la kutunga katiba yetu (Wananchi). Katiba ni mali yetu si mali ya Serikali, CCM, CHADEMA, CUF, NCCR na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,napenda tuelimishe watz wenzetu kuhusu jina halisi la hawa wadau wanaojadili rasimu ya pili ya katiba ya tanzania,ni jina lipi ambalo wanaitwa,mana nikipitia vyombo vingi vya...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Kwa kweli haya ni maajabu ya wasomi wa TAnzania eti ndiyo wana kumbuka shuka sasa baada ya Rasimu ya pili kutoka na tayari bunge la katiba liko kikaoni wao ndiyo wana kujadili Muundo wa serikali...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua...
4 Reactions
110 Replies
11K Views
Baada ya maajabu ya jana kuwafikia wananchi moja kwa moja na haswa lilipozuka suala la kura kutofautiana na idadi ,leokuna karatasi za rasimu za kanuni ziligawiwa ,ajabu karatasi hizo hazikutosha...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Tukielekea kwenye kuunda katiba mpya ya jamhuri wa muungano pamekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu aina ya muungano, kuna watu wanaotaka serikali 1, 2 au 3 na kuna vyama tayari vimetoa misimamo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Bunge la katiba, limeanza kukaa kujadili kile ambacho watanzania wengi wanakisubiri kuwezaa kujua hatima ya nchi yetu. Wabunge wa bunge hili wabemba au wamebebeshwa kazi kubwa saana, ambayo busara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mwenye upadates za bungeni atujulishe coz naona TBC wameweka muziki.!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati nipotambua kwamba Rais JK amemteua huyu babu kingunge kwenye bunge la katiba hakika nilishangaa sana. Mshangao wangu ulitokana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma kidogo wakat JK...
7 Reactions
85 Replies
10K Views
wanavyojua mimi bunge la katiba litakwenda kujadili yaliyo ndani ya rasimu tu! Na sio yasiyokuwemo. Swali langu hapa ndugu zangu ni sehemu gani ndani ya rasimu ya imeandikwa serikali mbili?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najua wengi tutakuwa tumefuatilia yaliyojili ndani ya bunge la katiba. Imekuwa ni siku moja tu lakini nimejionea mengi kutoka kwa wajumbe wateule. 1. MAHUDHURIO Bunge lilianza kwa kuwepo viti...
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Nadhani uwepo wa JF members katika Bunge maalum la katiba kunawapa jukumu la lutujulisha kila kinachoendelea sisi tulioko nje, vinginevyo kuanzishwa kwa sub forum hii ya KATIBA MPYA kutakuwa...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Enyi wawakilishi wa bunge la katiba mpya tuweke dhana potofu za uchama chini tujadili katiba kwa maslahi ya Tanzania. Laana itakupata wewe kwasababu utakachopitisha batili leo kitatumiwa na...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Jamani yeyote mwenye updates za nini kinaendelea Bungeni Dodoma manake naona leo TV zote kimya.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bunge maalum la katiba linaloanza wiki hii mjini Dodoma ni muendelezo wa harakati za kupata katiba mpya itakayokuwa msingi kwa kizazi cha leo na kijacho kwa takriban miaka 50 ijayo.. Wito wetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom