Baada ya bunge la katiba kuteuliwa kumekuepo na minongono na maneno ya hapa na pale kuhusu muundo Wa serikali uliopendekezwa kwenye rasimu. Baada ya maoni kukusanywa na tume imeonekana watanzania...
Tukiwa tunaelekea kwenye bunge la katiba, bunge ambalo sehemu kubwa sana ya mjadala utakuwa ni juu ya muungano, kuna kila dalili kwamba mjadala utakaochukua nafasi kubwa utaendelea kuwa ni ule juu...
Bunge la katiba litakuwa moto sana. Mtu pekee anayeweza kuweka mambo sawa ni Mh Samwel Sitta. Pamoja na kwamba ni waziri haimzuii kwa vile ni mjumbe wa bunge wala haingii kama waziri
Nimekuwa nikishangaa kama mwananchama wa chama cha mapinduzi,katika swala la katiba mpya,Viongozi wa chama wamekua mbele kung'ang'ania tena majukwaani kuwa Msimamo wa CCM ni serikali mbili,wakati...
Kwa maisha magumu tulionayo watanzania tulio wengi , ukosefu wa ajira kwa vijana ,mishahara midogo kwa watu muhimu kama madaktari na walimu ,ukosefu wa huduma muhimu lakini ndani ya nchi hihi...
Sasa nimethibitisha ya kuwa katiba iliyopo ilisiginwa na kutotumika katika kuibadilisha katiba iliyopo kwa sababu ya kumlinda Raisi ambaye atajengewa mazingira ya kila chaguzi zetu atokane na...
JAMANI wana janvi, napendekeza wajumbe wa bunge la katiba wampe kura za kutosha Captain Komba awe spika. Pia Kingunge Ngombale Mwiru awe naibu spika, Lusinde Livingstone awe Katibu wa Bunge hilo...
Kwa wale tulizoea upigaji kura katika enzi ya vyama vingi, tofauti na wakati wa Mwl. Nyerere ambapo kulikuwa na kupiga kura ya ndiyo na hapana kwa ngazi ya urais, ni jambo la kawaida kuwa kila...
Nimeshangazwa na maelezo kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anaingia ktk bunge la Katiba kuwakilisha Waganga wa kienyeji na kuwasemea huko. Lakini pia wiki hii Maaskofu na Wachungaji waandamizi wa Umoja...
Ikiwa Chama tawala hakikubaliani na muundo wa serikali tatu na kuilaumu waziwazi tume chini ya mwenyekiti wake sidhani huko tuendeko kama tuatapata katiba mpya kwa amani.Hivyo nawasihi wadau wote...
Ikiwa imebaki takribani siku Moja ili Bunge Maalumu la Katiba lianze vikao vyake Huko Dodoma,Wananchi wamekua na Mitazamo tofauti tofati kuhusu Bunge hilo.
Wapo waliosema kua Chama tawala kina...
Mchungaji joseph gwajima amechukizwa na kitendo cha serikali kutowatambua makanisa ya pentecoste mchini katka bunge la katiba,
mchungaji huyo amesema kuna makundi ya dini kama tec,likiwakilisha...
Kama kuna kitu ambacho kimenikera na kunikarihisha ni uteuzi wa majina 201 uliofanywa na Rais Kiwete kwa Wabunge watakaoingia kwenye Bunge la Katiba mpya wiki ijayo.
Hakuna aliyetarajia kukutana...
Nimeshangaa kusikia eti Wabunge wa Bunge la Katiba wamemnyamazisha Mtikila na kumfukuza asiongee. Mimi nadhani hilo Bunge limeanza kujidhihirisha limejaa vibaraka wa watu wenye matakwa maalumu...
Bunge la Katiba litaanza wiki ijayo Mjini Dodoma. Rasimu ya Katiba ambayo kimsingi imetokana na mawazo yetu wananchi, inaonekana kutokuwa maarufu kwa CCM na mara kadhaa Viongozi waandamizi wa...
Naomba wenye hoja za kupinga ama kuongezea kuhusiana na hoja zifuatazo why serikali tatu ni muhimu sasa kuliko wakati mwingine wowote ule kwenye Historia ya Taifa letu.
Ni muhimu tukaweka...
Kwa Mtazamo Wangu, Naona Ni Bora Tukawa Na Serikali Moja; Yaani Zanzibar Iwe Mkoa. Ikishindikana Kuwa Na Serikali Moja, Basi Hatuwezi Kukimbia Serikali Tatu, Yaani Serikali Ya Tanganyika, Zanzibar...
Habari zenu wananchi tanzania yetu,,,! nianze kwa kilio hiki......!
Tanzaniaaaaaa.....eeeehhhhh...nchi yangu eeeheeh!
Sina maana ya kuigiza bali nikutoa wasiwasi wangu juu ya mchakato unaoshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.