KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

hata kama tukawa na katiba nzuri kama bibilia na kurani . tukawa na sera na mipango mizuri ya kimaendeleo ni kazi bure kama katiba isiposema wale wote watakao dhibitishwa na vyombo husika vya dola...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Watu wote wanaofwatilia na kusubiri Katiba mpya wanapoteza muda wao wa thamani Buree! Kwa sababu Siku zote anayeandika Katiba ndio anaamua kipi kiwemo na kipi kisiwemo, kwa maana nyingine ni...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
wiki moja imepita tangu bunge la katiba lianze kazi yake.lakini kwa tathimin changanuo mwelekeo wa bunge hili sio mzuri kimalengo na madhumuni yake.hii inatokana na mfumo mbovu uliotumika kuteua...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Kama wabunge wangepewa posho ya 200,000 si ingewatosha kabisa kuanzia malazi chakula na kila kitu kwani huko wameenda kuvuna au kulitumikia Taifa... kama wanaweka mawazo ya kujipenda wao zaidi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina elimu ya kutosha, ni mzalendo ninayewiwa na ukombozi wa hali duni ya maisha ya watanzania inayosababishwa na mifumo ambayo ingeweza kurekebishwa na michango yenye tija ya wajumbe wa katiba...
0 Reactions
4 Replies
36K Views
Wana Ukumbi, Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu, kumekuwa na trend ya baadhi ya watu hasa wale wanaopenda "kuonekanwa" kujitokeza na kupinga ongezeko la posho kwa wajumbe wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndani ya kanuni za bunge zimo kanuni za kulinda maslahi ya wabunge wenyewe na zingine zinawanyima haki watanzania kupata kufahamu kile kinachoendelea ndani bungeni. Kuna kanuni inayokataza kurusha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa kamishna wa tume ndugu pole pole akiwa itv katika kipima joto amesema katika tume jaji warioba aliwaambia wajumbe wa katiba kua anae taka posho kubwa amwandikie barua mh rais aongeze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna tetec kuwa kikundi cha uamsho wata toa tamko la kupinga wao kuto teuliwa hata mjumbe mmoja wa bunge la katiba wakati kundi lao lina usajiri znz wa kudumu kama asasi inayo jitegemea
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa...
0 Reactions
98 Replies
13K Views
Wanajamvi nawasalimu,hivi kama wajumbe wa bunge maalumu la katiba wanamamlaka ya kubali hata rasimu yote na kuandika wanachoona wao kinafaa tafsiri yake ni kwamba tume ya jaji warioba haikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani bunge hili ni la wananchi wote bila kujali dini,kabila,itikadi za kisiasa,rangi,umri,Rangi n.k iweje mtu akurupuke na usema sisi kama ccm tunahitaji serikali mbili,je huyu mtu analitakia...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Mwenye nakala ya sheria ya mabadiliko ya sheria atuwekee hapa wapendwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
>Vioo vya kuzuia risasi( bullet proof glasses ) > Mbwa askari (German sherphad dogs) >Polisi wa doria > Uzio (fences) Je kuna tishio la kigaidi???? Kulikoniiiiii
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Mh.Hamisi Kigwangwala amesema si sahihi kuweko ukomo kwa mbunge kugombea jimbo fulani kwani wenye maamuzi ni wananchi. Katika kutetea hoja yake hiyo,mh.Kigwangala amesema hata mataifa ambayo ni...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wadau, Leo nikiwa hapa mjini Dodoma nilipata nafasi ya kuongea na dereva mmoja wa mjumbe wa bunge la katiba ambae pia ni mbunge wa bunge la Jamuhuri kutoka Zanzibar, na akanidokeze kuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukirejea katika sheria ya Mabadiliko ya Katiba Mpya iliyoridhiwa na Bunge la Jamhiri ya Muungano wa Tanzania na kusainiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete na kuwa SHERIA rasmi,utaona yafuatayo: 1...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika...
2 Reactions
169 Replies
14K Views
Katika hali ya kuweka mambo sawa wajumbe wa bunge la katiba wameridhia kwa pamoja kutumia kura za SIRI na zile za KIELEKTRONIK kupitisha mambo mbalimbali bungeni humo. Hayo yamefikiwa baada ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama mnavyojua kwa sasa mijadala juu ya bunge la katiba imepamba moto sana kila kona watu wanajadili bunga la kitiba nasi katika kijiwe chetu hapa ofisini mjadala ulikuwa mkali kuhusu gharama za...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…