Kwa waliomsikia BBC.
Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.
Nasema hivi wambieni kabsa nimesema...
Heshima kwenu
Hoja ya wajumbe wa katiba kuacha walichopaswa kujadili KANUNI za kuendesha bunge la katiba na hata kuonyesha kilichowapeleka Dodoma ni katiba kama kipaumbele na sio posho kwa kuwa...
tsh 300000 times 70 days times 600 members ni tsh billion 12.6 na ushee lakini kama watalipwa tsh 500000 kutakuwa na ongezeko la 8.4 tsh billion. embu wajumbe wa bunge la katika kuweni na huruma...
Habari wadau wa jf!
Jamani kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia nionane na RAIS ili nizungumze nae aniteue niende kuijadili rasimu ya katiba bila malipo yoyote, nitatumia gharama zangu mwenyewe...
Katika kipindi cha radio one cha kumepambazuka leo kaojiwa dk benson bana kuhusiana na madai ya kuongezewa posho kwa wajumbe wa bunge la katiba.kwa maoni yake ni kwamba mjumbe anayeona posho n...
Hivi Kificho,kama mwenyekiti wa muda, ana mamlaka ya kuunda kamati ndogo kufuatilia swala la nyongeza ya posho kwa wajumbe wa bunge la katiba?Yeye kama mwenyekiti wa muda si anatakiwa kusimamia...
Nini kiliusumkuma Muungano kufanyika haraka, miezi 4 tu baada ya zanzibar kuwa huru? (April 1964).
Jibu: Zanzibar baada ya kupata uhuru ilikuwa chini ya Sultani: Kwa sababu watu weusi walihisi...
Waheshimiwa mimi ni mwananchi wa kawaida bali nilitaka kushirikiana na wanajamii kuwajadili wakulima au watetezi wa wakulima walioteuliwa kwenye bunge la katiba, wakulima kutoka wilaya gani...
Posted Alhamisi,Februari20 2014 saa 9:6 AM
KWA UFUPI
Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa NLD - Zanzibar, Khamis Haji Mussa katika taarifa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari mjini...
Bunge la katiba limeanza leo jioni hii,na kulitokea dosari kubwa katika utaratibu wa kupiga kura ili mwenyekiti wa muda achaguliwe,binafsi kwa roho safi na bila ushabiki wa vyama napenda...
"Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi.
Tume inayongozwa na Jiji...
Sikuamini masikio yangu nilipohabarishwa kuwa huko Dodoma kwenye kikao cha Bunge la katiba linaloendelea kumekuwa na fununu za kuzuka kwa madai yale ya kuidai serikali ya Tanganyika ,na sasa ni...
Tatizo ni kuwa uchungu wa posho kwa wabunge au wizi wa fedha a umma hausikiki kwa Watanzania wengi. Yawezekana wapo wanaona haya ni mambo mabaya kiakili tu lakini si kimaadili. Mtu ambaye na...
tangu mjadala wa katiba mpya ulipo zinduliwa na rais ndani ya bunge,na kutopata baraka kutoka kwa wana ccm wenzake,hali imejidhihirisha hivi sasa baada ya bunge maalum la katiba kuanza vikao...
Dk Turuka anasema madai kwamba wa-pentekoste wamepuuzwa si ya kweli, anadai kwamba wamepitia record zao na hawajapata uthibitisho wa kuwepo mapendekezo yeyote kutoka baraza la maaskofu wa...
Ni wazi kabisa ccm imejipanga kuvuruga mchakato wa katiba mpya kwa kulazimisha maoni ya CCM ndio maoni ya watanzania wote.Naomba CCM itambue iko siku moja wataondoka madarakani kwa hiyo iache...
Wanajamvi,
Nimesoma na kusikiliza vyombo mbali mbali vya habari na mitandao ya jamii, Mh.6 anaonekana kukubalika zaidi kuliko wagombea wengine kutokana msimamo wake thabiti na ile slogan yake ya...
Kupitia ukurasa wake facebook Mtatiro amesema hivi
Julius S. Mtatiro
NCHI HII ITAMALIZWA;
Tunafahamu kuwa kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la
katiba ati waongezewe fedha zaidi.
Hoja hii...