KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Baada ya bunge la katiba kuteuliwa kumekuepo na minongono na maneno ya hapa na pale kuhusu muundo Wa serikali uliopendekezwa kwenye rasimu. Baada ya maoni kukusanywa na tume imeonekana watanzania...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukiwa tunaelekea kwenye bunge la katiba, bunge ambalo sehemu kubwa sana ya mjadala utakuwa ni juu ya muungano, kuna kila dalili kwamba mjadala utakaochukua nafasi kubwa utaendelea kuwa ni ule juu...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Bunge la katiba litakuwa moto sana. Mtu pekee anayeweza kuweka mambo sawa ni Mh Samwel Sitta. Pamoja na kwamba ni waziri haimzuii kwa vile ni mjumbe wa bunge wala haingii kama waziri
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikishangaa kama mwananchama wa chama cha mapinduzi,katika swala la katiba mpya,Viongozi wa chama wamekua mbele kung'ang'ania tena majukwaani kuwa Msimamo wa CCM ni serikali mbili,wakati...
1 Reactions
5 Replies
948 Views
Kwa maisha magumu tulionayo watanzania tulio wengi , ukosefu wa ajira kwa vijana ,mishahara midogo kwa watu muhimu kama madaktari na walimu ,ukosefu wa huduma muhimu lakini ndani ya nchi hihi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa nimethibitisha ya kuwa katiba iliyopo ilisiginwa na kutotumika katika kuibadilisha katiba iliyopo kwa sababu ya kumlinda Raisi ambaye atajengewa mazingira ya kila chaguzi zetu atokane na...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
JAMANI wana janvi, napendekeza wajumbe wa bunge la katiba wampe kura za kutosha Captain Komba awe spika. Pia Kingunge Ngombale Mwiru awe naibu spika, Lusinde Livingstone awe Katibu wa Bunge hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kwann CCM wamekua wakitaka katiba mpya iwe ki-ccm na sio ya WATANZANIA?
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Kwa wale tulizoea upigaji kura katika enzi ya vyama vingi, tofauti na wakati wa Mwl. Nyerere ambapo kulikuwa na kupiga kura ya ndiyo na hapana kwa ngazi ya urais, ni jambo la kawaida kuwa kila...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Nimeshangazwa na maelezo kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anaingia ktk bunge la Katiba kuwakilisha Waganga wa kienyeji na kuwasemea huko. Lakini pia wiki hii Maaskofu na Wachungaji waandamizi wa Umoja...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ikiwa Chama tawala hakikubaliani na muundo wa serikali tatu na kuilaumu waziwazi tume chini ya mwenyekiti wake sidhani huko tuendeko kama tuatapata katiba mpya kwa amani.Hivyo nawasihi wadau wote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikiwa imebaki takribani siku Moja ili Bunge Maalumu la Katiba lianze vikao vyake Huko Dodoma,Wananchi wamekua na Mitazamo tofauti tofati kuhusu Bunge hilo. Wapo waliosema kua Chama tawala kina...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Mchungaji joseph gwajima amechukizwa na kitendo cha serikali kutowatambua makanisa ya pentecoste mchini katka bunge la katiba, mchungaji huyo amesema kuna makundi ya dini kama tec,likiwakilisha...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Kama kuna kitu ambacho kimenikera na kunikarihisha ni uteuzi wa majina 201 uliofanywa na Rais Kiwete kwa Wabunge watakaoingia kwenye Bunge la Katiba mpya wiki ijayo. Hakuna aliyetarajia kukutana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeshangaa kusikia eti Wabunge wa Bunge la Katiba wamemnyamazisha Mtikila na kumfukuza asiongee. Mimi nadhani hilo Bunge limeanza kujidhihirisha limejaa vibaraka wa watu wenye matakwa maalumu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bunge la Katiba litaanza wiki ijayo Mjini Dodoma. Rasimu ya Katiba ambayo kimsingi imetokana na mawazo yetu wananchi, inaonekana kutokuwa maarufu kwa CCM na mara kadhaa Viongozi waandamizi wa...
1 Reactions
2 Replies
699 Views
Naomba wenye hoja za kupinga ama kuongezea kuhusiana na hoja zifuatazo why serikali tatu ni muhimu sasa kuliko wakati mwingine wowote ule kwenye Historia ya Taifa letu. Ni muhimu tukaweka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa Mtazamo Wangu, Naona Ni Bora Tukawa Na Serikali Moja; Yaani Zanzibar Iwe Mkoa. Ikishindikana Kuwa Na Serikali Moja, Basi Hatuwezi Kukimbia Serikali Tatu, Yaani Serikali Ya Tanganyika, Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Hakuna kukosea.Hakuna kubahatisha. Kila kitu ni mipango. Mipango asubuhi,jioni mahesabu. Ndivyo alivyofanya Mwenyekiti wetu, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Ameteuwa 'Wa-jembe' wa Katiba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wananchi tanzania yetu,,,! nianze kwa kilio hiki......! Tanzaniaaaaaa.....eeeehhhhh...nchi yangu eeeheeh! Sina maana ya kuigiza bali nikutoa wasiwasi wangu juu ya mchakato unaoshika...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…