Heshima kwenu wana jf,
Naomba mawazo yenu katika uteuzi wa wabunge wa bunge la katiba uliofanywa jana na Mkuu wa Nchi.
Katika majina 84 toka taasisi za Elimu Tanzania Bara Rahisi aliteuwa majina...
WAKATI tukijiandaa kwa Bunge maalumu litakaloanza wiki ijayo, Nigeria wameandaa mjadala wa kitaifa utakaofanyika baadaye mwaka huu kutafuta mwelekeo mpya mmoja wa kitaifa katika mambo muhimu...
Miaka 50 ya muungano imepita huku watanzania wakihoji kwanini kuna serikali ya Zanzibar lakini hakuna serikali ya Tanganyika, majibu yaliyokuwa yakitolewa kujibu swali hili yanapingana na majibu...
Kwa wale wajuzi na wenye uelewa mpana wa jambo hili la Bunge la Katiba,
taratibu zake zitakuwa ni sawa na zile za Bunge la kawaida ama zitakuwa vip??
Viongozi wake watakuwa kina nani mfano...
Ndugu wana JF.
Nnimekaa na kutafakali kuhusiana na hoja ya kuwa na Serikali tatu nimeona ni kama haiwezekani kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuhudumia Serikali tatu itakuwa ni mzigo sana na haitaleta...
Kwa hesabu hizi CCM itauwa pendekezo la serikali tatu. Upinzani umepigwa bao tena CCM kidedea.
My wild guess: the three-tier government union structure proposal will be shot down in the...
Nikiwa Kwenye harakati Za kupangua foleni kuwahi pahala nikakatiza Mtaa mmoja wa Donga maeneo ya Mwananyamala nikakumbana Na Kundi la Kinamama wakichomozea barabarani Na Mabango Yao.. Nchi hii...
Na Felix Mutalicious Lugeiyamu; 0712246001/ flugeiyamu@gmail.com
Ni kitambo sasa tangu suala la mchakato wa uundaji katiba mpya uwekwe wazi masikioni mwa watanzania. Suala ambalo watanzania...
Dual citizenship plan now in the hands of Tanzania's MPs
Travellers being cleared to enter Tanzania at Namanga border. Tanzanians are far from realising the right to...
Wakati akitangaza majina ya wajumbe wateule wa bunge maalum la Katiba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka alisema watu 118...
Jaji Joseph Warioba
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba.Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, amewaonya baadhi ya viongozi wa Chama cha...
By Felix Lugeiyamu; flugeiyamu@gmail.com Few days gone the chairman for the new constitutional bill Hon. Warioba presented the second draft of the new constitution which is expected to be...
Baada ya uteuzi wa wajumbe 201 wa bunge la katiba, baadhi ya wazanzibar wameanza kuwaka kwa hasira wakisema nchi mbili zimeungana, inakuwa je bara watoke 14 na zanzibar watoke 6? Hata wengi...
Katika taifa lolote au jamii yoyote kijana ni tegemeo kubwa sana.kijana ndiye mwenye kupanga na kuchagua maisha ayatakayo.kwa namna nyingine kijana ni nguvu ya taifa na jamii.
Lakini badhi ya...
Wadau nimejaribu kufikiri uwezekano wa Watanzania kupata Katiba mpya kupitia mchakato huu unaoendelea na kwa tathmin yangu naona hatutopata katiba mpya..nina sababu..
1.CCM na washirika wao...
Mkurugenzi wa Chama cha Viziwi Tanzania (Chavita), Dickson Mveyange alisema kitendo alichokifanya Rais Kikwete kushindwa kumteua mwakilishi wao kimewasononesha.Alisema nchi nzima kuna wanachama...
Mwanasheria mkuu fredrik werrema akiwa anahojiwa na star tv tarehe 09/02/14 amekiri prof shivji,dr benson bana ni watu makini kuliko baadhi ya wabunge,sasa nashangaa kwanini hawakuwachagua katika...
Wengi kama sio wote kati ya wajumbe wa mabaraza ya Katiba Mpya toka CCM-kwa mujibu wa vyombo vya habari wanapingana na mapendekezo ya Tume ya Katiba ya Jaji Mstaafu J.S.Warioba kuwa Muundo wa...