Ndugu zangu watanzania, baadhi yetu hawana uelewa wa kutosha wa Bunge Maalum la Katiba litakalojadili na kupitisha Rasimu ya pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikiwa kama...
Wote wenye hoja ya serikali tatu naamini walizingatia kutokuzitonesha hisia za, na utashi wa wazanzibari ambao wamekuwa wakionyesha kupitia viongozi wao kutoridhishwa na aina hii ya muungano wa...
Tena ni hofu kubwa. Maana ukiondoa CCM vyama vilivyosalia havina nguvu kubwa na ya kutosha katika maeneo mawili ya Muungano. Japo, ukweli uko wazi tunaposema tunashughulikia kero za Muungano ni...
Hatimae lile dukuduku ambalo wengi walikua nalo kuhusu ni lini na akina nani watatuwakilisha watanzania mjengoni kujadili rasimu ya pili ya mabadiliko ya katiba limepatiwa majibu.Majina na tarehe...
Kelele zimekuwa ni nyingi sana kuhusu ni upi muundo wa serikali katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania uliopendekezwa/ unaopendelewa na watanzania tulio wengi. Huu sasa ni wakati muafaka kwa...
Sipati picha lawama zote kutupiwa Jaji Warioba kwenye Rasimu ya Katiba kana kwamba yeye ndio mbuzi wa Kafara (Scapegoat) hasa kwenye suala la Serikali Tatu, Utasikia Warioba amsaliti Nyerere...
Uongozi wa CHADEMA Unapaswa kutoa Tamko rasimi kama chama kwani huu uteuzi haukuzingatia weledi wawatu wanaohitajika, na wengi walioteuliwa hauwakilishi uhalisia wa mkundi yaliyotarajiwa zaidi ni...
Wadau
nimejikuta naumiza kichwa kila ninaposikia matatizo ya Ardhi na mapigano kati ya wakulima na wafanyakazi yanayotokea hivi sasa Tanzania,nikajiuliza ktk hii Rasimu ya pili ya Katiba ina...
Ndugu,
Binafsi nimekuwa na mashaka na integrity ya uteuzi wa Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba.
Mashaka yangu yanarokana na kauli alizotoa Rais Kikwete - Mbeya Jumapili iliyopita na Dar es...
Jana wakati natazama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nimemsikia Nape akiongea na wananchi wa kata ya Kiborloni mjini Moshi, alisema 'wanaounga mkono serikali tatu ni...
Ndugu zangu huku mtaani kuna maswali mengi, watu tunasikia bunge la katiba lakini wengi wetu hatujui ni nini kinaendelea. Maswali mengi hayana majibu. je ni nani atakuwa Spika wa bunge la katiba...
Kwa wananchi walio wengi wana matatizo lukuki hasa ya huduma za jamii hususan elimu,Maji na afya hata hawaelewi umuhimu wa serikali tatu kwa wanasiasa serkali tatu ni muhimu kwao na wanaipigania...
Ok, hakuna ubishi na tunaelekea kupata katiba mpya. Mh. Dr. J.M.Kikwete hana tatizo na jambo hili na kwa mkutadha huu toa maoni yako kabla na baada ya uteuzi wa wabunge wa katiba mpya. Nani anafaa...
Ukiwa wewe ni Mtanzania unaeutakia mema Muungano unasemaje juu ya Muundo wa serikali. Mimi maon yangu serikali iwe Moja tu, sio tatu au mbili kama ilivyo sasa sababu ninazo. Je wewe