Kuna taarifa zinazo sadikiwa kuwa ni za uhakika kuwa baadhi ya Maprofesa na majaji wanakesha kuichambua rasimu ya pili ya katiba kifungu hadi kingine, ni raisimu iliyo wasilishwa na na mwenyekiti...
Wasalamu ndugu; Mara nyingi huwa natenga muda kuchunguza yanayozungumzwa na viongozi leo kwa kulinganisha na yale waliyonena jana. Kama ilivyo ada kwamba mkubwa ni jalala...
Công ty Cổ phần đầu tư thương mại và phát triển DVN
Là một nhà phân phối cung cấp tất cả các sảm phẩm...
Wana JF,
Rasimu ya Katiba mpya ina vipengele muhimu sana kwa nchi yetu.Lakini kuna vifungu ambavyo vinawahusu Wabunge na Mawaziri moja kwa moja. Na wao watakuwepo wakati wa upitishaji au...
Katika kipindi hiki; ni kipindi cha mpito kwa watanzania. Hii ni kwa kuwa watanzania wengi kwa uzalendo wao wamejikita katika kutafuta mustakabari wa taifa hili kwa tashwishi kwa kudhani kuwa...
Wakuu JF,
Hivi kama Bunge la Katiba lina Mamlaka ya Kuja na Rasimu Mpya kabisa ya Katiba na kuifuta ile ya Tume ya Warioba hivi kulikuwa kuna uhalali gani wa Kuundwa kwa tume ya Warioba ?
Hivi...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia malumbano yanayoendelea kuhusu Katiba mpya. Malumbano yaliyochukua sehemu kubwa hasa kwa wanasiasa ni kuhusu muundo wa Muungano kati ya nchi mbili za...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia malumbano yanayoendelea kuhusu Katiba mpya. Malumbano yaliyochukua sehemu kubwa hasa kwa wanasiasa ni kuhusu muundo wa Muungano kati ya nchi mbili za...
Mh rais, katika maadhimisho ya chama chake ameisemea chadema kwamba wapo wanachadema wanapenda serikali 2,hilo sina hakika nalo,ila ni kuraghai watu,semea chama chako mheshimiwa
kuliko la sasa la serkali mbili lenye wabunge mianne na ushe hii ni hesabu ndogo ya mtoto wa darasa la kwanza ukimuuliza swali 300 na400 ipi kubwa atakupa jibu haraka mie navyo ona hawa wanaodai...
Ndugu zangu wwnajamvi si mara ya kwamza kusikia viongozi wa serikali na ccm yangu wakisema serikali ni ya kiungwana kwa sababu eti ilipopigwa kura za maoni kuona idadi ya watu wanaopinga au...
Wiki hii kuliitishwa Baraza la Katiba la Wasanii ili kujadili na hatimaye kutoa mapendekezo kwa ajili ya Rasimu ya Katiba Mpya.
Baraza lilifanyika ofisi za BASATA zilizopo Ilala Dar es Salaam...
Bw. Humphrey Polepole, mjumbe wa Tume ya Katiba, leo ameibua siri ya Tume kushupalia pendekezo la kuundwa kwa serikali tatu. Amesema Wazanzibar walikuja na Katiba Mpya mwaka 2010 yenye mabadiliko...
Wana jf kwa uzoefu wa Bunge la JMT wabunge pamoja na mawaziri wamekuwa hawajudhurii vikao bus Bunge kama insvyotarajiwa. Tukiwa tumebakiza siku chache kabla ya kuanza kikao cha Bunge maalum la...
Watanzania wengi wamezungumzia na wanaendelea kuzungumzia mapendekezo au rasimu ya Katiba kama ilivyowasilishwa na Tume niite Tume ya Jaji Warioba kwa nia nzuri tu. Baadhi ya wachangiaji wa...
Wanabody kwa wanaojua wanaweza tujuza kama Warioba lihoji pia jamaa wa ulinzi na usalama wa nch ili watujuze kama ni mfumo gani wanauona ni mzuri kwa usalama wa nchi yetu.
Nasema hivi kwa kuwa...
Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Boman amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuachana na msimamo wake wa muundo wa Serikali mbili na kwamba, wawaachie wananchi waamue.
Pia, Jaji...
Ingawa inasemekana kinadharia kuwa Rais ndio anayeteua wabunge watakaoingia kwenye bunge la katiba ukweli ni kwamba mawaziri wawili wa sheria [ wa sasa na aliyeanzisha mchakato] ndio watakaokuwa...
TAFADHALI USININUKUU
Ndugu zangu,
Haiyumkini Majaji wetu hawa wazaliwa na wazalendo wa nchi hii wakawa wote wana matatizo katika kufikiri kwao;
Jaji Francis Nyalali, Jaji Robert...