Jukwaa la Katiba acheni kutumia mchakato wa kupata KATIBA MPYA kujinifaisha. Jana Kwa Mara ya kwanza kuitikia mwaliko wao UBUNGO PLAZA.
Vijana walijitokeza Kwa wingi na kutoa maoni Yao juu ya...
Licha ya ukweli kuwa katiba inagusa kila nyanja katika maisha ya watu,mimi kipaumbele changu kwa sasa ni kupata katiba itakayotusaidia kuondokana na utawala huu wa CCM.Baada ya hapo mambo mengine...
Naomba kuwaletea baadhi ya vipengele ambavyo CCM wametoa mapendekezo yao kwenye tume ya Warioba ...makubwa yaliyopo ni kuhakikisha kuwa status quo inaendelea kuwepo kama hali ya sasa kuanzia...
Katibu Mkuu wa CCM abdulrahaman Kinana amewataka Viongozi aw vyama vya siasa nchini hasa Chadema kuondosha ukibaraka na ubinafsi na badala yake waache watanzania watoe maoni Yao kwa uhuru kwa...
CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kimependekeza kuwapo kwa serikali tatu katika Katiba mpya.
Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Wales Mayunga, alieleza hayo jana alipozungumza na waandishi wa...
Kwa mambo yanavyoendelea sasa kuna kila uwezekano kuwa hadi 2015 tutakua hatujapata katiba. Ushauri wangu tuone uwezekano wa kuongeza muda wa uongozi tulio nao sasa mpaka tuwe na katiba itakayo...
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim, amelitaka Baraza la Katiba Wizara ya Mambo ya Nje na...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WA MWAKA 1964 ULIZAA TANZANIAYA SASA UMO MASHAKANI. WANASIASA, WANAHARAKATI, SERIKALI, NA WANANCHI. WOTE KWA PAMOJA WANABISHANA MITAANI, MAJUKWAANI, KWENYE...
Akiongea kwenye kipindi cha Hoja ya Mwalimu Lwaitama kilichorushwa na SIBUKA TV leo Ijumaa 06-09-2013,Dr Lwaitema amesema kuwa wabunge wa vyama vya upinzani wanajaribu kuizuia CCM kuhodhi Bunge la...
BARAZA la Katiba lililoandaliwa na asasi zisizo za kiserikali mkoani Morogoro za Volunteer Group na Kijogoo Group, limeitaka Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuondoa neno Tanzania Bara katika rasimu...
BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LINA KAZI KUU TATU..=KUTUNGA SHERIA,=KUISIMAMIA SERIKALI=KUPITISHA BAJETI...JE NI SHERIA IPI ILIYOTOA NGUVU KWA KUIJADILI RASIMU YA KATIBA BUNGENI NA...
Hivi karibuni tumeona mambo yaliyotokea bungeni kwa Naibu spika kuminya haki za wabunge wa upinzani. Kitendo kilichopelekea wabungea hao kutoka nje na hivyo kuacha mchakato wa maswala ya rasimu...
Mwananchi Jumatano Septemba 4, 2013 "Muswada wa Sheria ya Kura ya Maoni wa mwaka 2013 uliokuwa ujadiliwe katika mkutano wa 12 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, umeondolewa na sasa utajadiliwa...
KUNA njaa za kisirisiri za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu mchakato wa Katiba Mpya kama njia ya kumkomoa Mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete, ambaye baadhi yao wanadai anawazunguka katika suala...
Taasisi ambazo zimeshiriki mkutano huo ni pamoja na TAMWA, Zanzibar Youth Forum, Zanzibar Law Society, Baraza la Katiba, Pemba Press Club, Jumuiya ya Waandishi wa habari za Maendeleo Zanzibar na...
Ni wazi kabisa wenzio CCM hawaitaki katiba mpya mchakato ambao uliuridhia. Waliamua kukuunga mkono kama mwenyekiti wao lakini mioyoni mwao hawaitaki kabisa kwa sababu wanajua katiba mpya ambayo...
CCM hawakuwa na agenda ya katiba mpya katika manifesto yao ya uchaguzi 2010. hawakuwa na suala la serikali moja wala tatu bali mbili. sasa ni kwa nini wanatuburuuza katika suala hili? utaona...
Heshima kwenu.
Sheria inayosimamia mchakato wa katiba mpya imetamka wazi kati ya mambo ya KULINDA ni MUUNGANO,
Lakini Rasimu inapendekeza Serikali mbili zenye mamlaka kamili ambazo...
Malumbano haya yanapamba moto, ila mantiki haipewi nafasi. wako wanaosema kuwa hawaoni tatizo la pendekezo la rasimu kuwa serikali ziwe ziwe serikali tatu. sioni tatizo la gharama linakujaje...
Siku zote dalili ya mvua ni mawingu, dalili hizi za kisiasa hapa nchini zinaonyesha vurugu, fujo, na utowevu wa aman katika siku za usoni. Tunajua CCM ndo wenye nchi kwa sasa, kwa maana...