Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefunga rasmi mikutano yake ya kukusanya maoni kutoka kwa wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba mpya kupitia mabaraza huru ya chama hicho, jijini Dar es...
Ndugu wana jf.
Nafahamu kuwa baada ya kukamilika mchakato wa katiba mpya wanachi itabidi tuipigie kura ya maoni ya ndio au hapana rasimu hiyo, sasa nataka kufahamu hiyo ndio na hapana ni mawakala...
1. Nec ya CCM imekataa suala la kuweka kikomo cha vipindi vitatu kwa wabunge. Badala yake imependekeza mfumo wa sasa wa bila ukomo kuendelee.
2. chama hicho kimekataa pendekezo la mawaziri...
Mjadala wa Rasimu ya Katiba mpya DMV Pt 1
Mjadala wa Rasimu ya Katiba mpya DMV Pt 2
Source: CHADEMA DIASPORA : MJADALA WA RASIMU YA KATIBA MPYA NA VIONGOZI WA CHADEMA NA CUF WASHINGTON DC...
Wakati nchi ikiwa kwenye mchakato wa kupata katiba mpya itakayokaa badala ya ile ya 1977, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), wemetoa maoni yao kuwa ni vyema katiba mpya ikawa na ibara...
Katibu Mkuu wa Chadema,Wilbroad Slaa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinakubaliana na rasimu ya Katiba kwa sababu asilimia 80 ya rasimu hiyo kwa kile inachoeleza...
Wana JF,
Kwa sasa macho na masikio ya Watanzania wengi yapo Dodoma ambako vyombo vya juu vya maamuzi vya Chama Cha Mapinduzi, Chama Tawala (CCM) vinaketi ambapo pamoja na mambo mengine...
Baada ya kupitishwa na Bunge la Katiba (ambalo limejaa CCM) rasimu ya katiba itapelekwa kwa wananchi ili waipigie kura ya KUIKUBALI au KUIKATAA. Natumaini kwa wingi wa WATANZANIA (milioni 40+)...
Katiba ni roho ya taifa lolote duniani,Watanzania tuko kwenye mchakato wa katiba mpya na hatua ya mabaraza ya wilaya na mabaraza yenye malengo na mitazamo inayofanana kujadili rasimu na kutoa...
Historia inatarajia kuandikwa katika Mkutano 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, unaoanza leo, mjini Dodoma wakati litakaposafisha njia kwa Watanzani kwa mara ya kwanza, kupiga kura ya maoni ya...
Wakuu,
Napendekeza tutoe sauti ya umma hapa JF kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tupige kura kwa kuandika hapa.
Kwa wanaoutaka, andika: UENDELEE
Kwa wasioutaka, andika: USIENDELEE
Si...
Kwa vile imezoeleka kuwa wanaume ndiyo wenye mamlaka ya mwisho katika mahusiano ya ndoa - kuoa zaidi ya mwanamke mmoja (ambao ni mfumo dume)
"Natumaini sasa imefika wakati wanawake nao...
Nimepitia rasimu ya katiba mpya 2013 sijaona ibara yenye kutamka HAKI ZA WANAUME wala WAGANE. Haki za binadamu zimetaja makundi mengi kama haki ya mtoto, haki za vijana, haki za wazee, haki za...
Tanzania tuna Virume kadhaa, tuna Karume mwasisi wa Muungano, Karume Rais wa mwisho mstaafu wa Zanzibar na Karume balozi mstaafu. Kwa vile Karume mwasisi alishatangulia mbele ya haki, hatuwezi...
NAPE AWAPONDA CHADEMA
>.Asema ni vibaraka waliobobea.
>.Adai wanawapotezea watu muda mikutano ya Katiba
>. Ajivunia utaratibu uliotumiwa na CCM
>. Adai wanachofanya Chadema ni uhuni
>. Ampongeza...
Tumesoma kwenye magazeti ya leo (26.08.2013) kuhusiana na Babu Slaa kulalamika kwa kauli ya Mh. Kinana (katibu mkuu wa CCM) ya kwamba CCM imekusanya maoni ya zaidi ya wanachama wake milioni mbili...
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wametaka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe kwenye Katiba mpya.
"Tunataka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe...
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wametaka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe kwenye Katiba mpya.
"Tunataka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.