Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuuamuwa kutumia Helkopta 2 kuzunguka karibu nchi nzima kukusanya maoni ya Wafuasi na wasio wafuasi wake juu ya aina ya MUUNDO GANI wa KATIBA...
Wana jukwaa,habari nilizozipata kutoka kwa katibu mwenezi jimbo la Segerea,ni kwamba kesho katibu mkuu wa CDM Dr W Slaa ataongoza mkutano wa hadhara wa mabaraza ya katiba katika majimbo matatu ya...
tarehe 21\08\2013 saa 11:40 jioni katika Viwanja vya Kizwite ni jinsi baraza la Katiba la Chadema lilivyopokelewa mjini Sumbawanga na kuungwa mkono.
Ilikuwa Hoja kwa Hoja: na Hoja kwa Hoja kweli...
Mkutano wa Maoni ya Katiba Sumbawanga Utakaoendeshwa na Mh. Mbowe, Mh, Lissu, Mh. Mnyika na Mh. Mdee utafanyika kesho saa 8 mchana katika viwanja vya Shule ya Msingi Kizwite na Ndua. Mkutano huu...
1.Napendekeza katiba iliruhusu kuanzisha makapuni binafsi ya Upelelezi(private investigation company).Upelelezi wa sasa unaegemea upande moja wa polisi hivyo kuchelewasha upelelezi au kutoa...
Mpambanaji wa mgombea binafsi Christopher Mtikila
Wapenda demokrasia hawataweza kumsahau Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Christopher Mtikila katika harakati zake za kuona demokrasia...
Chama cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwa kuwa inahitaji muda wa kuijadili na si suala la kukurupuka.
Akifungua semina...
Wakati Mwigulu akiendelea kuwaburudisha wananchi wa jimbo lake na Simba; kitendo kilicho waudhi washabiki wengi wa simba wenye itikadi tofauti. Makamanda wa CHADEMA wameendelea kutoa elimu ya...
Chadema tuelekeze nguvu vijijini na tusibweteke kwani hatujui nani kanali wa jeshi la ccm tutayepambana nae 2015 kwani kama mugabe kashinda sintoshangaa hata lowasa akishinda kwa kisingizio cha...
Mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Dr slaa na timu ya viongozi wa CDM, hapa Morogoro, kuazia saa nane mchana, na waru kupata fursa ya kutoa maoni yao ya rasimu ya katiba mpya. Ni Morogogoro...
Salam wanajamv, wakaz wa Tukuyu mjni wilaya ya Rungwe munaarifiwa kuwa kesho Tarehe 21/08/2013. Kutakua na mkutano mkubwa wa CHAMA CHA DEMOKRASIA CHADEMA, Ktk viwanja vya Tandale-Tukuyu mjini...
Tanga. Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku amesema asingekubali kushiriki katika Tume hiyo laiti kama angejua CCM ingeingilia mchakato huo.
Butiku ambaye alitoa kauli hizo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Kamanda Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika wafanya kweli Kigoma CCM wakili kuwa wanatisha. Sina Mengi angalieni picha.
Rais mara kadhaa nimesikia ni taasisi, yapo mengi kwawale ambao vichwa vya zimewapatia hifadhi ya mambo watakumbuka majibu yabungeni, hasa lukuvi akiwa anamlinda rais kama alivyoapa. Alihoji na...
Hallow.
Naamini utakuwa unafuatilia au walau umesikia hali ya kisiasa ilivyo tata nchini Misri. Pia nina uhakika kila mmoja wetu ana maoni tofauti kuhusiana na janga hili.
Hata hivyo nia...
Jumanne hii, kutakuwa na Mkutano mkubwa wa hadhara katiika kiwanja cha shule ya msingi K Ndege. mkutano huo utaratibiwa na Katibu mkuu wa CHADEMA na timu yake. Sharashamra zitaanza saa nane...
Kwa muonekano wangu Tanzania ni nchi ambayo ina system ya ovyo sana ya kupiga kura, na hii ndio husababisha kila baada ya uchaguzi watu wanakua hawana kabisa imani na matokeo sio ya kuanzia ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.