na Josephat Isango
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji mstaafu, Joseph Warioba, inawatakia mema Watanzania hivyo iungwe mkono...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, leo anahitimisha siku 15 za ziara ya chama hicho ya kukusanya maoni ya rasimu ya Katiba mpya iliyofanyika nchi...
Mkutano wa Maoni ya Katiba mpya ulianzaa mida ya Saa nne asubuhi katika uwanja wa mpira mjimwema stendi,
Watu wamepata fursa ya kuchangia maoni ya Katiba na kuuliza maswali ama ufafanuzi...
Baada ya tume ya Warioba kuileta rasimu ya Katiba mpya ijadiliwe, ni jambo lisilopingika kwamba Taifa linaelekea kugawanyika kutokana na hoja kubwa iliyozuka ya mfumo wa Muungano na serikali zake...
1 rais aondolewe kinga 2tume ya uchanguzi iwe huru 3waziri wasiwe wa bunge 4 igp mkuwa jeshi wasiteuliwe na rais 5mtu akishikwa na sembe kifo ongezea na yakwako
Katibu mkuu wa chadema dr slaa atahutubia mikutano mitatu kwenye majimbo yaliyopo mkoa wa kinondoni. Mpaka sasa watu wanaendelea kumiminika kwa viongozi waliyofika wa juu ni mzee kimesela,katibu...
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema ili nchi iwe na umoja, kuna umuhimu wa mchakato wa kutoa maoni ya kuandikwa kwa Katiba mpya, ufanyike kwa umakini...
Jaji mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya amewajia juu wanasiasa hasa wanaowaambia wafuasi wao waseme nini na mawazo mengine yanatolewa majukwaani kwa utashi wa kisiasa kwamba...
Tayari katibu mkuu wa Chadema Dkt. Slaa ameshawasili uwanjani. Mjumbe wa kamati kuu anatoa maneno ya utangulizi.
Viongozi wengine walioambatana nae ni Mama Kaihula-mbunge, Katibu wa mkoa Mzee...
Wasalaam,
Tangu kutolewa kwa Rasimu mpya ya katiba yetu kumekuwa na mijadala mbalimbali kutokana na maudhui yaliyomo katika rasimu hiyo. Binafsi nimekuwa nikitafakari mustakabali wa nchi yetu...
jamani kwa mda mrefu watanzamia vjama toka vyuona tumekuwa tunakutanana na changamoto kubwa na ghadhabu pale umapoona kazi inatangazwa afu experience miaka kadhaa sasa suluhsho ya hili ni kuwa...
Mie naona ili kumaliza mgawanyiko na mvutano unaojitokeza kuhusu Tanzania kuwa na serikali mbili au tatu, basi tuwe na serikali moja. Maana kama suala ni kuua kero za muungano na kuuimarisha...
Waungwana nimesukumwa kuuliza swali hili baada ya kuvutiwa na utaratibu wa CHADEMA wakuhakikisha maoni yawasilishwayo na chama hicho yanatoka kwa wananchi moja kwa moja tena kwa mikoa yote kitendo...
1.Napendekeza katiba iliruhusu kuanzisha makapuni binafsi ya Upelelezi(private investigation company).Upelelezi wa sasa unaegemea upande moja wa polisi hivyo kuchelewasha upelelezi au kutoa...
yadai ni vijana waliopitwa na wakati.
wamedai wameshtushwa na kauli ya vijana hao kumtaka rais shein amfukuze kazi mwanasheria mkuu kuhusu maoni yake ya serekali 3.
August 22nd 2013
MKUTANO WA CHADEMA MBEYA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa jiji la Mbeya, katika mkutano wa hadahara wa...
Jana likuwa siku ya kwanza kwa halimashauri za mkoa wa Dar es salaam kujadili katiba mpya.
wilaya ya kinondoni wajumbe walijadili katiba nje ya uwanja huku mvua ikinyesha.
Awali waliambiwa kuwa...
- Nimeshitushwa sana na Wapinzani kukosa kabisa hoja nzito zenye tija kwa Taifa letu, baada ya makelele ya muda mrefu sana kutaka marekebisho ya Katiba, sasa Mapendekezo yamewekwa mezani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.