Wakuu sasa ninawapa habari ya uhakika kuhusu mikutano mikubwa ya CHADEMA inahusiana na rasimu ya katiba mpya na mchakato wake kiujumla itakayokuwa ikihutubiwa na viongozi wa kitaifa wakiongozwa na...
Mara nyingi nimekua mtazamaji wa mivutano mbali mbali kama kuwa na serikali tatu huku wengine wakidai mbili, wengine wakiponda chama hiki na wengine kukikubali kile, wengine wakisema hili juu ya...
Source Uhuru 05/08/2013
Kauli tata za Nape Mnauye kama nilivyomnukuu katika gazeti la Uhuru kwa kauli za kejeli na matusi kwa kusema kuwa wanapenda serikali mbili ndio wenye akili timamu, kwa...
Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud ameponda mfumo wa serikali mbili kuwa ni ghali na inawagharimu zaidi Wazanzibar kuliko wa bara ikiwepo usumbufu wa kushinda...
mchakato wa katiba mpya umeanza vizuri na wananch hakika wanahtaji elimu ya mambo gani ya msingi ktk kuchngia,licha ya kuwepo kwa ugeni wa kuleta elimu juu ya mstakabali wa katiba nzuri kuna huyu...
Salaam Wadau wa JF.
Kama mnavyofahamu kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamesambaa mikoani wakichukua maoni ya wananchi juu ya rasimu ya katiba mpya.
Uongozi wa Chadema jimbo la Ukonga...
Asalam alaykum wanajukwaa
Katika kipindi hiki ambapo tunaelekea uundwaji wa Katiba mpya, Taasisi mbalimbali ikiwa ni vyama vya siasa, Jumuiya za kidini, makundi maslahi (interest Groups) na...
Watanzania wenzangu kwa sasa tupo katika mchakato wa katiba mpya. Lakini kwa muono wangu nadhani katiba hii siyo ya watanzania kama tunavyotaraji. Katiba hii kwa sasa inatawaliwa na vyama vikuu...
Naomba kuelimishwa, hivi ni
kwa namna zipi serikali ina
wanyanyasa waislamu.
Cuz sielewi. mi naoma Serikali anatunyanyasa wote "equally"....cuz kama mafisadi wanaiba hela zetu wooote, mikataba...
wana jf katika jambo ambalo linanitatiza katika kichwa changu ni kura ya maoni katika huu muungano tata kwenye katiba mpya hivi ikitokea watanganyika wakapiga kura ya ndio na upande mwengine wa...
Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema kama tume hawatapokea maoni ya majukwaani yanayohubiriwa na wanasiasa.
Badala ya vyama kuzungumzia matatizo mbalimbali...
Wednesday, August 14, 2013
Muungano umeendelea kuumiza vichwa ambapo mkoani Mwanza wajumbe wamevutana kiasi cha kumtia majaribuni mwenyekiti wa baraza
Mwanza. Wajumbe wa Baraza la Katiba...
Prof.amedai bora uchaguzi 2015 ufanyike bila katiba mpya ili tuipate baada ya hapo. Ni wazi ameona kuwa ikipatikana katiba hiyo kabla ya 2015 nafasi ya CUF ni ndogo mno kushinda uraisi. Na pia...
Wananchi wapo wengi, wamehamasika na maelezo yanayoendelea kutolewa.
Mapendekezo ya chama katika tume ya uchaguzi ni kwamba Tunataka kuwe na tume huru ya uchaguzi, na Tanganyika Law Society...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetamba kuwa hatua ya wabunge wake kugomea hotuba ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa Bunge mwaka 2010 ndiyo imezaa mchakato wa Katiba...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amebadili kauli yake ya awali, kwamba katiba mpya iondoe viti maalumu kwa kuwa wabunge wa viti maalumu hawana umuhimu wowote.
Kauli...
Kamati ya Maridhiano Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Hassan Nassor Moyo, imefafanua
MAMLAKA KAMILI inayotaka Zanzibar iyasimamie yenyewe ambayo yanajumuisha mambo
yafuatayo:
1. Mipaka...
Katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA Dk Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa Amani, Umoja na mshikamano bila kuwa na katiba bora haiwezekani!
Akihutubia maelfu ya Wafuasi na Wanachama wa CHADEMA katika mji wa...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imewasilisha mapendekezo ya kuitaka Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala kubadilisha siku ya kupiga kura ya maoni ifanyike katika siku za kazi badala...
RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013
IBARA YA 25 ( 2 )
"Biashara ya kusafirisha binadamu ni marufuku katika Jamhuri ya Muungano."
Dukuduku langu: Wamiliki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.