KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

CCM BADO INA IMANI KUBWA NA TUME YA KATIBA Nape Nnauye NA MWANDISHI WETU CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Tofauti na baadhi ya watu wanavyodhani kuhusu mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya, kwa sasa wanaCCM wengi wenye uelewa mpana tunataka uwepo wa serikali ya Tatu ya Tanganyika. Wakati kukiwa na...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Wana JF, Najua Mch Mtikila ni mwasisi wa mjadala wa kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika,lakini katika mjadala wa Muundo wa muungano ktk katiba mpya,sijamsikia Mtikila akichangia.Kulikoni?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikitishwa sana kwa jinsi chama cha mapinduzi inavyotaka kuharibu mfumo mzima wa mchakato wa katiba mpya. Na kwa jinsi hiyo watanzania tukatae utumwa huo wa fikra unaotaka kuletwa na...
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Jaji Warioba ameonesha kufadhaishwa na jinsi vyama vya siasa vinavyowalisha wananchi wake maneno ya kuongea katika kuchangia maoni ya muundo wa Katiba mpya. Amesema.......... "Sasa ninao uwezo wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
CHADEMA should watch out:- Bila katiba ya Tanganyika, uchaguzi 2015 utafanyika bila Tume Huru. Nashauri Kwanza ipatikane katiba ya Tanganyika kabla ya katiba ya Muungano. Ama Tume Huru ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba niweke wazi, vyama hivi viwili vimekuwa vikishawishi wananchi na wanachama wake kupendekeza maoni yenye maslahi kwa vyama vyao. CCM wamejikita kuwaeleza wanachama mtazamo wao kama chama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mchakato wake wa uundaji mabaraza ya Katiba huku kikisisitiza msimamo wake ni kuwepo serikali mbili. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya chama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi (Nec-CCM), Nape Nnauye, ametuhumu Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuwa haitendi haki kwa kuwazuia wajumbe wa Baraza la Katiba kusoma waraka wa chama hicho...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
MAONI JUU YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013. Sehemu yeyote ambayo haijagusiwa katika Rasimu hii maana yake ni kwamba inakubalika na inapita bila kipingamizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAONI JUU YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013. Sehemu yeyote ambayo haijagusiwa katika Rasimu hii maana yake ni kwamba inakubalika na inapita bila kipingamizi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana JF, Kama Raisi, Waziri, Mbunge nk ni watumishi wa umma. Kwa nini rasimu ya KATIBA mpya haijatamka umri wa ukomo kugombea nyadhifa hizo, ilhali imetamka umri kianzio wa miaka 40 kwa uraisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema wapinga muswada wa kura ya maoni ya Katiba Mpya Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepinga muswada wa Sheria ya kura ya maoni mbele ya Kamati ya Kudumu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katiba mpya itaje tpdf kama jeshi pekee tanzania.polisi iwe idara ili wasijione kama jeshi na kusumbua wananchi na jukumu lao ni kutoa huduma kwa wananchi na si vinginevyo.kama polisi ni jeshi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi sishangai viongozi CCM wanapo ng'ang'ania muundo wa serikali mbili, kwanza una manufaa makubwa kwao kwani wanaiba na kufanya ufisadi kama tunavyoshuhudia. Tangu serikali ya Tanganyika ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Tanganyika+zanzibar=tanzania.kwenye katiba mpya serkali ya mapinduzi zanzibar ifutwe na kuwa ni jimbo la jamhuri ya muungano wa tanzania.serkal moja yaani jamhur ya muungano wa tz,coz hii ni sawa...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Samahani ninaomba nitumie lugha ya Kiingereza kwa sababu ya technicalities of legal language: Constitution was conceptualised as the arrangement of sovereign offices in the State (Aristotle...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nlposoma rasimu. Nlielewa hv kua hakuta kua na vt maalum kla m2 atafute jmbo la kugombea. Il 2pate usawa kat ya wanaume na wanawake. Kngne kla jmbo kutakua na wagombea wawil wa kike n kiume. Mfano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi kuridhika kunatokana na maoni kukidhi matakwa ya chama?au anaridhishwa na jinsi wajumbe wanavyochangia, au labda ameridhika kuwepo kwa vikwazo dhidi ya wajumbe wameshindwa kujinasibu ktk...
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Habari zenu wana JF? Naomba kuwakilisha maoni yangu ya rasimu ya katiba mpya, kwenu na wadau wote katika mchakato wa katiba mpya ya Tanzania.Tuchangie kwa hekma zaidi. Asanteni.Na Josam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom