Muundo wa Muungano: Tunatafuta Haki, Usawa au Ustawi?
July 22, 2013
Katika siku za karibuni baada ya kuzinduliwa kwa Rasimu ya Kwanza ya Katiba ya Tanzania, pamekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu...
Zanzibar kesi inayotaka Muungano waTanganyika na Zanzibar ufutwe imefunguliwa katika Mahakama Kuu yaZanzibar. Kesi hiyo iliahirishwa jana MahakamaKuu ya Vuga mjini hapa na Mrajisi wa Mahakama Kuu...
"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
Wakuu JF, Amani iwe Nanyi
Kuna watu wameshaanza tayari ,nina uhakika watu hawa wanatumiwa.
Wanapinga Rasimu ya Serikali tatu kwa kigezo cha Gharama.
Eti Nchi itakuwa na Gharama Kubwa ku Run na...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza na Baraza la Katiba la Wakulima wadogo kupitia Muungano wa Vikundi Vya Wakulima (Mviwata) hivi karibuni.
Kwa ufupi
*.Pamoja na kwamba...
Ndugu wanaJF, huu ni mtazamo wangu lakini unaangalia kwa kina zaidi swala la katiba mpya ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Muungano maana yake ni kitu zaidi ya kimoja vinaungana kuwa...
MAONI JUU YA RASIMU YA KATIBA MPYA.
1. Kwa vile maoni yaliyokusanywa na tume ya katiba kutoka kwa wananchi yalikuwa mengi na yote yasingeweza kuingizwa kwenye rasimu, naomba kupendekeza...
Dhumuni hasa la mwenge wa Uhuru ilikuwa ni kulinda Amani ndani na nje ya mipaka yetu, Kuleta matumaini kwa watu walio kata tamaa, Upatanishi penye mfarakano, heshima pale palipojaa dharau. Pia...
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amewasihi Watanzania wazuie katiba mpya isitoe rais dikteta na mwenye kutumia madaraka vibaya kwa kuinufaisha familia yake au jamaa walio karibu naye...
Kuwa na serikali moja ni vizuri zaidi na jambo jema kuliko serikali mbili au tatu ikiwezekana nchi igawanywe kimajimbo na zanzibar iwe kama jimbo ikiwezekana na wawe na sheria zao za kijimbo na...
Tume ya Uundwaji wa Katiba mpya nchini Tanzania inayoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba imeshatoa Rasimu ya Katiba mpya.Ni Rasimu ya Kwanza. Bado Rasimu mbili.Moja itajadiliwa na kuidhinishwa na...
Amani iwe kwenu, fikiri maswali haya nawewe uanze kutafakari upya juu ya kuuboresha muungano wetu...
1. Iwapo tofasiri ya muungano ni kuungana kwa serikali 2 zenye mamlaka, ni kwa malengo...
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha baraza la katiba wilaya ya Singida wakinyanyua mikono juu kuomba nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu uboreshaji wa uundwaji wa katiba mpya. (Picha zote na Nathaniel...
Leo ikiwa ni siku ambayo mchakato wa mabaraza ya kujadili Rasimu ya Katiba mpya unaendelea nchini, leo ni zamu ya Manispaa ya Bukoba ambapo kituo ni Rugambwa Sekondari.
Chakushangaza ni hali ya...
Habari zenu Wanajumuiya ya JF.
Baada ya salamu zangu kwenu ni swali ambalo huwa najiuliza kila siku je nikweli baada ya mapinduzi ya zanzibar ya 12 JAN 1964 na 26 April 1964 TUKAPATA...
Katika kile kinachoonekana kutapatapa kwa CCM Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nauye amekishushia tuhuma Chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Akizungumza katika kongamano la katiba jana...
- Sio siri kwamba CCM tuna nafasi kubwa sana ya Kuandika Katiba mpya kwa sababu ndicho Chama kinachokubalika sana na Wananchi wengi na ndio chama tawala chenye nafasi kubwa na Mabaraza ya katiba...
Na Haji Mtumwa,Zanzibar
TUME ya Mabadilikoya Katiba imeshauriwa kuzipa uwezo wakumiliki Bank Kuu nchiwashirika wa Muunganowa Tanzania ili kuzifanyakuwa na uhuru wamatumizi ya kibenkiambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.