KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Salaam wana JF, Bila shaka kwa asilimia kubwa Watanzania wana kiu kubwa ya kuishi chini ya mwamvuli wa katiba mpya itakayotokana na mawazo yao, kwa ajili yao na sheria mama itakayoamua hatma yao...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Kwa bahati mbaya suala la muungano halijapata kuwa the topic of my interest…sifahamu ni kwanini ingawaje kama ningeulizwa bila shaka jibu langu lingekuwa kwamba nchi hii ina matatizo makubwa...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kupitia rasimu ya katiba mpya nimeona kuwa katika mambo yanayoelezwa kuwa ni ya Muungano ni "Mambo ya Nje". Wakati huo huo, katika ibara ya 62 (2) ya rasimu hiyo kunaelezwa hivi (nanukuu)...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa UVCCM taifa, amesema serikali tatu hazitekelezi kwa kuwa zina gharama na zitavunja muungano. Amependekeza muundo wa serikali mbili uliopo uendelee. My take: 1.Kwa nini...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wanaodai serikali tatu naomba watambue iko kinyume na natural law of equlibrium hakuna uwezekano wowote serikali hizo kufanya kazi bila muungano kuvunjika. Hakutakuwepo ''balance of power''...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
“Asema wengi hawachangii lolote bungeni na hawana yeyote wa kuwahoji kama ilivyo kwa wale wa majimbo” “Aunga mkono Rasimu ya Katiba Mpya kufuta viti hivyo, asema ni mzigo mwingine kwa wananchi”...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya maneno yalitamkwa na mmoja wa wahasisi wa Muungano.Anaejua atuambie Maneno hayo yalimanisha nini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeisoma rasimu nzima ya katiba mpya lakini sijaona sehemu yoyote ilipotajwa tanganyika,nijuavyo mimi tanzania ni munganiko wa baadhi ya herufi toka neno zanzibar na tanganyika.lakini katika...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
1.zanzibar-ina ikulu 2.tanzania-ina ikulu 3.tanzania bara-haina ikulu NB:TANZANIA BARA=TANGANYIKA na tanganyika ikulu yake ndio ilichukuliwa na serikali ya muungano. Je tutaenda kutekeleza...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Watanzania tumefika maali tuwe na maamuzi magumu kwa maswala magumu hasa yanayohusu maslahi ya wananchi wa taifa hili, nasikia wenzetu zanzibar wanataka serikali yao kamili na wanahitaji muungano...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Rasimu ya Katiba imepunguza mambo ya muungano kutoka 22 mpaka saba, kwa sasa mambo ya muungano yanaendeshwa kwa tsh 1.2 trilion kwa mwaka, hivyo sababu mambo yamepungua tunaamini yatapungua, kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya wajumbe wa baraza la katiba wilaya ya magharibi Zanzibar Wamependekeza suala la elimu ya juu liendelEe kuwa la muungano kwa maelezo kuwa Serikali ya mapinduzi ya zanzibar haina uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Saturday, August 3, 2013 WASIRA NAPE WAONGOZA KONGAMANO LA VIJANA KUJADILI RASIMU YA KATIBA MWANZA c.c Uncle Deo Posted by Albert G.Sengo
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikufuatilia mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya na niakagundua kwa watanzania wengi na pia vyombo vingi vya habari kama si vyote vimejikata sana katika masuala ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nashangaa wanao sema eti serikali tatu ni mzigo. Mbona serikali nne sii mzigo?. Tanzania kuna serikali 1. serikali za mitaa 2. serikali kuu 3. serikali ya zanzibar 4. serikali ya muungano...
0 Reactions
5 Replies
935 Views
Ibara ya 39 ibara ndogo ya 3 inayohusu Haki ya watu walio chini ya ulinzi inasema,''Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanyiwa mahojiano ya aina...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Wana JF nautafuta kwa nguvu zote waraka wa CCM kuhusu Rasimu ya Katiba mwenye nao ani PM. Sina uhakika kama ni wa wazi au ni wasiri, maana Mode anaweza akauna wa moto si unajua haya mambo tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilivyo sikia mabadiliko ya katiba nilipata faraja kuwa tutarekebisha pale tulipojikwaa.Hoja ya katiba mpya Tanzania 2010 haikuwa ya watawala bali ya wapinzani, Tangu kutungwa kwa sheria ya...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Mjadala kuhusiana na Serikali ya Tanganyika ni mjadala wa muda mrefu sana. Awali, mjadala huu ulikuwa ni wa chini chini kutokana na hofu iliyotanda ambapo kitendo cha kujadili au kuhoji "nafasi ya...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
na Thomas Murugwa, Tabora MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kinapinga mfumo wa serikali tatu usiingizwe katika...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom