Mawazo haya yanatokana na imani kwamba Tanzania, nchi iliojaa neema ya kila hali, ingepata kada ya viongozi madhubuti wenye uchungu na Taifa, ingeweza kufanya mabadiko ya haraka na kutokomeza...
Juzi jaji Warioba alitoa yake ya moyoni wakti akiongea na Baraza la Wanawake huko Bagamoyo. Jaji Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya alisema vyama vya siasa vimeamua kuingilia...
Kwa ufupi
"Hayo yalisemwa na Katibu wa kundi namba nne, Leokadia Vedastus huku akitaka katiba hiyo ijayo iongeze wigo wa haki za mfanyakazi ili aweze kulindwakikatiba."
Ukerewe. Wajumbe Baraza...
jamani binafsi sajaelewa vipi yale mabaraza ya katiba yanaendelea kweli au inakuaje maana kwa sasa naona haya ya chadema yameshika kasi na yameungwa mkono na wananchi kwa asilimia kubwa.
Hivi misimamo ya CCM na Chadema kwenye mchakato wa katiba ni halali? siongelei usiriki ninachoongelea ni kampeni za kuwaelekeza wananchi nini cha kufanya na nini kinatakiwa kwa mtindo huu tutapata...
Mkinga anachambua rasimu. Rasimu hii inalenga kuvunja muungano. Imechukua mambo kwenye katiba ya Zanzinzibar na kuyahamishia kwenye katiba ya muungano. Mchambuzi anaunga mkono uchambuzi wa Prof...
Katika kuidurusu rasimu ya Katiba mpya, sehemu ya YALIYOMO sura ya Kumi na Tano sehemu (c) yenye Kichwa cha habari Polisi wa Jamhuri ya Muungano kifungu cha 230 Warioba na wenzake wameandika...
CCM na hulka ya kupinga mambo ya maana
Kitila Mkumbo
Toleo la 310
7 Aug 2013
Kikwete pekee ndiye atakayeokoa mambo Katiba mpya
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...
Sasa ni wazi kuwa Muundo wa serikali tatu hauepukiki kwa nini?
Tanzania bara siyo Nchi na wala siyo jina lake, Jina halisi ni Tanganyika, kwa vyovyote vile hatuna katiba yetu sisi kama watu wa...
MWENYEKITI na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanaanza rasmi ziara nchi nzima kwa kutumia helikopta kwa ajili ya kuzindua mabaraza ya Katiba ya chama.
Ziara hizo...
Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrodi Mkono
Mjadala unaoendelea kuhusu rasimuya Katiba Mpya, unayagusa makundi mengi ya kijamii na watu binafsi, kila upande kwa namna yake.
Lakini sehemu kubwa...
Katika RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2013:
"Maoni ni kuhusu sikukuu nyingi zisizo na tija, zipunguzwe na muda wa kazi Uongezwe"
Katika Rasimu ya Katiba Mpya...
Wana jamii forums
Natoa angalizo kwa mchakato wa katiba mpya kuwa serikalii iangalie kama kuna uwezekanao wa kubadilisha mfumo wa kuchagua viongozi badala ya kupiga kura zoezi ambalo linatumia...
Wanachama wa ccm mkoani Rukwa wamekwenda kinyume na msimamo wa chama chao na kutaka uwepo wa serikali tatu maana katiba ni kwa maslahi ya Taifa na sio wana ccm, Tunajua ccm viongozi wakubwa...
Micheweni. Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wametoa mapendekezo ya pamoja wakitaka mambo matano yaondolewe kwenye Muungano, yabaki...
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya umeanika sura halisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwamba wamepinga mambo yote ya maana katika rasimu hiyo si jambo la ajabu na inatukumbusha kwa mara...
Joseph Warioba, Chairman of the Constitutional Review Commission (CRC)
The Chairman of the Constitutional Review Commission (CRC), Joseph Warioba, has expressed concern on the weight placed by...
CCM ina msimamo wake rasmi juu ya Rasimu ya Katiba mpya.Msimamo huo unahusu hasa kupinga kwa nguvu zote uwepo wa Serikali Tatu. Msimamowa cahama chetu ni kutaka Serikali mbili. Si tatu kama Rasimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.