KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

ZANZIBAR ni nchi ambayo mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba na visiwa vidogo vinavyoizunguka ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliitwa Jamhuri ya Watu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu ni juavyo mimi Katiba ni mwongozo wa maisha ya watu wa kundi au jamii fulani, eneo fulani husika,katika kufikia malengo yao watakayo jiwekea kwenye hiyo katiba. Sasa basi juu ya katiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katiba itamke wazi kuwa mgeni hatapewa uraia bila kujua Kiswahili. Utaifa ni pamoja na kujua Kiswahili. Wageni wanapewa uraia km njugu bila kujua mawasiliano, maadaili, tunu za taifa nk. kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SWALI:Kwa nini wapinzani kama kina Tundu Lissu wanakuwa wakali namna hii katika mchakato wa katiba? JIBU:Mchakato huu wa katiba umetekwa na ccm!Mchakato huu unaratibiwa na ccm(sio tume) kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BONYEZA WEB MAONI YA KAMATI YA MARIDHIANO ZANZIBAR KUHUSIANA NA RASIMU YA KATIBA - Mzalendo.net
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mfumo huu utato chance pindi muungano uatakapo vunjika kila m2 na yake siombei muungano uvunjika sababu aliye changanya mchanga, mchanga umeshamfukia pia kumbuka dalili za mvua ni mawingu. Tuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JE! HOJA HIZI ZILIJIFICHA KATIKA MJADALA WA MUUNDO WA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA RASIMU YA KATIBA MPYA? ulangasimba@yahoo.com Nimesoma na kusikia na baadae kuisoma kwa makini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati CCM, wakiendelea kuhangaika na kutetea ufisadi huko Bukoba na kuogopa kuwatimua madiwani wao, wakihofia kipigo cha 8-0, CHADEMA imezidi kusonga mbele ikiendesha Mabaraza Huru ya kujadili...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Dodoma. Miswada ya Sheria ya Marekebisho ya Mabadiliko ya Katiba na wa Kura ya Maoni inayotarajiwa kuanza kuwasilishwa bungeni kesho inaonekana kuwa kaa la moto kwa Serikali kutokana na wabunge...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
“Ni Hassan Nassor Moyo, Mansour na Ismail Jussa” ‘Wataka iwe na sarafu yake, mambo ya nje nauhamiaji, isajili vyama vyake vya siasa’ Zanzibar: Kamati ya Maridhiano imetoa maoni yake ya Rasimu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku amesema asingekubali kushiriki katika Tume hiyo laiti kama angejua CCM ingeingilia mchakato huo. Butiku ambaye alitoa kauli hizo kwa nyakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
“Uwepo wa Diaspora ni lazima utambulike Kikatiba,” amesema Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Waziri Membe aliyasema hayo alipokutana na Mhe. Jaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukijaribu kufuatilia kwa karibu usanii unaofanywa na CCM kwa kujaribu kuongeza chapuo la kura kwa kupitia asasi zake, utagundua kuwa kelele zote za kutaka serikali mbili ziendelee kuwepo si kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dk. Slaa awasilisha maboksi 17 • Yanahusu maoni ya Katiba, Warioba agoma na Abdallah Khamis Tanzania Daima TUME ya kukusanya maoni ya Katiba mpya inayoongozwa na Jaji mstaafu, Joseph...
3 Reactions
86 Replies
8K Views
Difference between CONSTITUTIONALISM & CONSTITUTION 1.A CONSTITUTION is abody of fundamental laws and principles according to whichi a political state is governed.Its sets out principles,rules...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Dr Slaa ashangazwa na utaratibu mbovu wa tume ya jaji Warioba katika kupokea maoni . asema Tume haijajipanga. <font size="4"><span style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: arial, sans-serif...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba asee chadema muisimamie hii kitu isiegemee upande mmoja maana mim nimeshaona hata maoni ya watu walioyatoa hayaonekani kwenye hii rasimu ndo maana mzee mmoja aliulizwa kuhsu rasimu hii...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
MWANASHERIA wa Kujitegemea, Elias Machibya amesema suala la muundo wa Muungano ni kubwa sana na halikupaswa kuwekwa lijadiliwe kwenye mchakato wa Katiba mpya, kwani litavuruga mchakato mzima...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mods, tafadhali msiunganishe uzi huu na nyingine. Wana JF, Wakati akifunga Mikutano ya kukusanya maoni kutoka kwa wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba kwenye viwanja vya Mwembeyanga, wilayani...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nimefuatilia kwa karibu viongoi wa juu wa CCm, kinachotokea naamini ni kiwewe cha kusimamia mila na desturi potofu ahata kama haikidhi haja, ila tu kwakuwa ni mila yenu na ndio kitambulisho chenu...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…