KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefunga rasmi mikutano yake ya kukusanya maoni kutoka kwa wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba mpya kupitia mabaraza huru ya chama hicho, jijini Dar es...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wana jf. Nafahamu kuwa baada ya kukamilika mchakato wa katiba mpya wanachi itabidi tuipigie kura ya maoni ya ndio au hapana rasimu hiyo, sasa nataka kufahamu hiyo ndio na hapana ni mawakala...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Nec ya CCM imekataa suala la kuweka kikomo cha vipindi vitatu kwa wabunge. Badala yake imependekeza mfumo wa sasa wa bila ukomo kuendelee. 2. chama hicho kimekataa pendekezo la mawaziri...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mjadala wa Rasimu ya Katiba mpya DMV Pt 1 Mjadala wa Rasimu ya Katiba mpya DMV Pt 2 Source: CHADEMA DIASPORA : MJADALA WA RASIMU YA KATIBA MPYA NA VIONGOZI WA CHADEMA NA CUF WASHINGTON DC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati nchi ikiwa kwenye mchakato wa kupata katiba mpya itakayokaa badala ya ile ya 1977, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), wemetoa maoni yao kuwa ni vyema katiba mpya ikawa na ibara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chadema,Wilbroad Slaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinakubaliana na rasimu ya Katiba kwa sababu asilimia 80 ya rasimu hiyo kwa kile inachoeleza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, Kwa sasa macho na masikio ya Watanzania wengi yapo Dodoma ambako vyombo vya juu vya maamuzi vya Chama Cha Mapinduzi, Chama Tawala (CCM) vinaketi ambapo pamoja na mambo mengine...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kupitishwa na Bunge la Katiba (ambalo limejaa CCM) rasimu ya katiba itapelekwa kwa wananchi ili waipigie kura ya KUIKUBALI au KUIKATAA. Natumaini kwa wingi wa WATANZANIA (milioni 40+)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katiba ni roho ya taifa lolote duniani,Watanzania tuko kwenye mchakato wa katiba mpya na hatua ya mabaraza ya wilaya na mabaraza yenye malengo na mitazamo inayofanana kujadili rasimu na kutoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Historia inatarajia kuandikwa katika Mkutano 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, unaoanza leo, mjini Dodoma wakati litakaposafisha njia kwa Watanzani kwa mara ya kwanza, kupiga kura ya maoni ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
I great you all and I wanna join you in useful interactions for our national development. regards; Kiongozi Makini
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Wakuu, Napendekeza tutoe sauti ya umma hapa JF kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tupige kura kwa kuandika hapa. Kwa wanaoutaka, andika: UENDELEE Kwa wasioutaka, andika: USIENDELEE Si...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa vile imezoeleka kuwa wanaume ndiyo wenye mamlaka ya mwisho katika mahusiano ya ndoa - kuoa zaidi ya mwanamke mmoja (ambao ni mfumo dume) "Natumaini sasa imefika wakati wanawake nao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepitia rasimu ya katiba mpya 2013 sijaona ibara yenye kutamka HAKI ZA WANAUME wala WAGANE. Haki za binadamu zimetaja makundi mengi kama haki ya mtoto, haki za vijana, haki za wazee, haki za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania tuna Virume kadhaa, tuna Karume mwasisi wa Muungano, Karume Rais wa mwisho mstaafu wa Zanzibar na Karume balozi mstaafu. Kwa vile Karume mwasisi alishatangulia mbele ya haki, hatuwezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NAPE AWAPONDA CHADEMA >.Asema ni vibaraka waliobobea. >.Adai wanawapotezea watu muda mikutano ya Katiba >. Ajivunia utaratibu uliotumiwa na CCM >. Adai wanachofanya Chadema ni uhuni >. Ampongeza...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Tumesoma kwenye magazeti ya leo (26.08.2013) kuhusiana na Babu Slaa kulalamika kwa kauli ya Mh. Kinana (katibu mkuu wa CCM) ya kwamba CCM imekusanya maoni ya zaidi ya wanachama wake milioni mbili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wametaka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe kwenye Katiba mpya. "Tunataka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wametaka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe kwenye Katiba mpya. "Tunataka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…