- Toka siku ya kwanza Kamati hii ilipotoa Rasimu ya kwanza ya Katiba Mpya nilishauri Rais wa Jamhuri kuifutulia mbali hii kamati kwa sababu, imeanza pole pole ku-behave kama Institution badala ya...
Nimewaona hawa makada wakiwaelekeza kiujanjaujanja Vijana wa ccm wa mkoa wa DSM kuhusu maoni ya Rasimu ya Katiba .
Tusipoangalia hii Katiba itakuwa ni Katiba ya ccm badala ya Kuwa Katiba ya...
Katika kipindi cha Dakika 45 jioni hii Ndg J Ndugai kwa kweli amenikosha sana.
Amesema yale ambayo wana CCM wengi wanaogopa kusema hadharani, Na amelisema suala la serikali tatu ndani ya muungano...
Nakubaliana na muundo wa muungano wa serikali tatu,kama ilivyo ainishwa kwenye rasimu ya katiba mpya lakini naomba jina la serikali ya Tanganyika na siyo serikali ya Tanzania bara na jina la...
Wana JF
Roho inauma na mawzo kichwa tele, kuna mawingu ya giza na kujawa na magharibi ya moyo, ni hunzuni na masikitisho makubwa kuona binadamu anadhalilishwa kisaikolojia ndani ya nchi yake...
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu...
serikali tatu ni muhimu na muundo utakuwa hivi, Rais mmoja wa muungano, makamu wa rais 2 yaani Tanganyika na zanzibar na hivyo kufuta waziri mkuu na waziri kiongozi ambapo hao makamu 2 watakuwa...
Huu si muungano Bali ni dhulma za wazi kabisa upande mmoja dhidi ya upande mwingine wa muungano, kwanini tuendelee kuwadhulumu? Tusivunje muungano kila upande uendeshe mambo yake? Tumeunda tume...
Njama zimesukwa kuhakikisha kwamba mgombea wa Urais mwenye nguvu zaidi Dr Wilbroad Slaa kutokea Chadema hapati nafasi ya kugombea Urais.
Wapanga mkakati huo wamepenyeza kifungu kwenye Rasimu ya...
Maombi yangu naomba katiba isifanyiwe siasa kama siasa zinavyofanyika kwenye mambo ya msingi sana kama vile uwaz wa serkali na kutoa maisha bora kwa kila mwanachi. Endapo katiba itafanyiwa siasa...
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu amewataka wajumbe wa mabaraza ya katiba kujenga hoja kuhusu muundo wa Serikali wanayoitaka badala ya kung'ang'ana wakiwalaumu wasomi kwa...
Tume ya mabadiliko ya katiba Imetoa mapendekezo ya serikali tatu, mengi yamesemwa na yatasemwa, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndo ulizaa Tanzania, yaan ilikuwa hivi, Tanganyika+Zanzibar...
Jaji Warioba
Mchakato wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umechukua sura mpya baada ya baadhi ya wajumbe kueleza kuwa mfumo wa serikali tatu...
Kwa mara nyingine napenda kuungana na Watanzania wenye mapenzi MEMA kuhusu Muungano wetu kuwapongeza wajumbe wote wa tume ya kutunga katiba ya Jamhuri ya Muungano, wengi tumefurahishwa hasa katika...
"CCM yapeleka balaa mikutano yaKatiba ; Waraka wake wazua tafrani Iringa" Waraka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake kushinikiza watetea matakwa ya chama hicho kwenye maoni yao katika...
CCM wanasema wanautaka muungano lakini hawataki serikali tatu, hii imekaaje?. Ninavyo jua mimi serikali mbili tayari zipo ambazo ni Zanzibar na Tanganyika ambayo imejificha, na serikali ya tatu...
Ni jambo la kushangaza kuona ccm kikitoa Waraka wa kuwaelekeza wanachama wake nini cha kusema na vifungu gani vya Rasimu hiyo wavikubali na vipi wavikatae. Waraka huo wa kurasa 32 hakika unabeba...
Napata shaka na hadi kufikia kuhoji integrity ya mzee Warioba. Hivi ni kweli haoni jinsi rasimu hii ilivyotekwa kichama na hasa ku-CCM kwani hata mawaziri wa CCM wanatamka wazi juu ya nini wajumbe...
Kwa ufupi
*.Mnyika asema mjadala wa Katiba ya Tanganyika unapaswa kuanza sasa sambamba na huu wa Rasimuya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
*.Butiku asema hakuna cha kuogopakwani Zanzibar...
Siku moja nilikuwa nafundisha kuhusu Muungano wetu katika shule moja ya sekondari. Niliwafafanulia jinsi Nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara zilivyoungana na kuunda nchi moja "Tanzania" yenye...