Ile Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM...
Bofya link (picha) uangalie mameno makali kuyoka kwa Kakoe kuhusu Nyerere na Mungano na Tnganyika pamoja na Zanzibar
Nyerere sio Mungu
Nyerere alikuwa shughuli.........:-Kakobe
Kwa kadri joto la kudai katiba mpya linavyozidi ndivyo ninavyojiuliza maswali mengi sana.
Maswali haya yanatokana na kwamba tulishuhudia jirani zetu Kenya walitunga katiba mpya kwa mbwembwe...
Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi "...
Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe.
Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu...
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa hali ya siasa ilivyo kwa sasa CHADEMA wameshindwa kupata ajenda ya kuwafanya watanzania washawishike kuwa wao ni mbadala na hii ni kutokana na ukweli kwamba...
Wanasiasa wakae pembeni watuachie wananchi tudai katiba yani
Viongozi wa dini
Asasi za kiraia
Waandishi wa habari
Wakulima
Wafanya biashara
Wafanyakazi
Machinga, boda na bajaj
Nk
Kila kundi...
Hakika rais mstaafu awamu ya 4 Jakata Kikwete atabaki katika historia ya tanzania kama baba wa demokrasia aliyethubutu kuwapatia watanzania katiba mpya licha ya ndoto yake kutokutimia kutokana na...
Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao...
Wasalaam Wakuu!.
Leo CHADEMA walikuwa na jambo lao waliloliita KATIBA DAY ambapo viongozi wao wakuu wa Chama pamoja na wanachama wao mashuhuri walihudhuria katika kongamano hilo.
Suala la Katiba...
Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani.
Hata...
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo...
Habari wanabodi!
Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko...
Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba.
Sina hakika hasa ni akina nani ndo wameipanga ila nahisi ni akina mwafulani.
Shughuli itafanyika hapo Segerea. Tundu Lissu atakuwa mtoa mada. Au labda...
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi...
Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa.
Nchi za...
Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'.
Nimeangalia trend mpaka sasa huko...
Habari wakuu
Mimi binafsi nimekuwa nikipenda namna mh Rais anaongoza nchi yetu, ana maneno ya busara ,hekima na matumaini ,ana huruma mpaka akitoa ahadi huoni namna ya kumpinga wala kuwa na...
Katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa hata chama bila katiba hakiwezi kuendelea.
Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata...