KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Na Ussi Talib Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba Wilaya ya Kati Unguja, wamependekeza Katiba ijayo itamke rasmi kuwa mshirika wa Muungano ni Tanganyika na siyo Tanzania bara...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi kimetoa mwongozo wake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, kikipinga mambo mengi yaliyomo ndani ya rasimu hiyo iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Monday, July 22, 2013 | 12:55 AM Mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wanachama na viongozi wake. UTANGULIZI 1.1 Mnamo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbio za kuelekea kwenye upatikanaji wa katiba mpya zimeshika kasi, ambapo hivi sasa tupo kwenye hatua ya mabaraza ya katiba kuipitia rasimu ya katiba iliyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Chama Cha Mapinduzi kimetoa mwongozo wake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, kikipinga mambo mengi yaliyomo ndani ya rasimu hiyo iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Mwananchi ambayo ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu wana JF hatua tuliofikia sasa hivi kwenye mchakato wa katiba mpya ni kukutana kwa mabaraza ya katiba na kutoa maoni waliopendekezwa na wananchi kuhusu rasimu ya katiba mpya iliyotolewa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM wasambaza waraka wao, wapinga rasimu ya Katiba Mpya Wafuasi wa CCM, wakiwa katika moja ya shughuli za chama hicho. Picha ya Maktaba Kwa ufupi CCM imeamua kutumia wanachama wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF inaonekana wazi kwamba sasa Tz inaanza kupezuki kisiasa. Ripoti hii inatupa sisi Wazanizbar burudani masikioni na moyoni mwetu tukijuwa sasa uhuru wetu umekaribia. Nanukuu makala haya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk. Hellen Kijo-Bisimba Mashirika yasiyokuwa ya kiserikaliyakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yameanza kuchambua rasimu ya katiba ili kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya Malori, eneo la Majengo, mjini Songea, mkoani Ruvuma juzi. Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania , Rasimu ya Katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. 2013. Sura ya Kwanza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sehemu ya Kwanza . Mipaka,Alama,Lugha,Utamaduni...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Akihojiwa ktk kipindi cha dakika 45 amesema anakubali sana serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume ya warioba, though anapinga spika na naibu wake kutotoka ktk vyama.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza nawapongeza kwa uchambuzi wenu wa kina mlioufanya kwenye rasmu ya Katiba mpya. Mambo mengi mmeyaeleza na kuweka msimamo. Pamoja na msimamo wenu nashukuru kwa kumalizia kila hoja kuwa...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Hivi ni kwa nini Elimu lisiwe ni suala la kikatiba badala ya kuwaachia watu wachache kulishikilia?, Katika nchi zote zilizo endelea Elimu imewekwa kipaumbele cha kwanza na bila shaka hakuna...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Mimi ni mmoja kati ya wajumbe wa mabaraza ya katiba. Rejea tamko la m/kiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, "Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema vikao vya mabaraza ya Katiba ya Wilaya sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nimesikitika kuwa Rasimu imeitoa sentensi ‘Tanzania ni nchi ya kijamaa’, hii sentensi iko kwenye Katiba yetu ya sasa lakini haiko kwenye Rasimu. Ingawa baadhi wanasema ile maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba Katiba Mpya itoe nguvu kisheria inapoona na kujirizisha kisheria kukifuta chama chochote kitachovunja sheria bila kujari kitakuwa na serikali au laa,na viongozi waliochaguliwa na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Edwin Mtei MAPENDEKEZO haya nayaandika ili niyatumie nitakapopata fursa ya kukutana na Tume ya Marekebisho ya Katiba. Endapo tume itayataka baada ya maelezo yangu, nitawaachia nakala ili...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania Rais wa Tanganyika Rais wa Zanzibar Tofauti kubwa ya serikali tatu ukilinganisha na serikali mbili ni kwamba serikali tatu Zanzibar itapungua nguvu zaidi kuliko...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…