RASIMU YA KATIBA MPYAMAONI NA MSIMAMO BINAFSI WA AWALI KUHUSU RASIMU SEHEMU YA KWANZA: MAONI YA JUMLARasimuhii ukiangalia juu juu tu na kwa kupitia propaganda ya vyombo vya habari...
Kamati ya
Uteuzi
182.-(1) Kutakuwa na Kamati ya Uteuzi wa Mwenyekiti,
Makamu Mwenyekiti na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi
itakayokuwa na muundo ufuatao:
(a) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
Ili kuwafanya Spika na Naibu Spika wawajibike bila kuwa na upendeleo kwa wabunge wa chama chochote igekuwa vema Katiba Mpya iweke uteratibu wa Spika na Naibu Spika kuchaguliwa na Vyama vilivyo na...
Naamini Tanzania itakua na umoja zaidi endapo kama tutakua na serikali moja (serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania), na sio kuwa na serikali mbili kama ilivyosasa au kuwa na serikali tatu...
Anasema ni hatari sana kwa jinsi ambavyo rasimu imependekeza kuhusu eneo la bahari ya hindi kuwa ni eneo la Zanzibar na Tanganyika wakati eneo la maji lina sheria zao kimataifa anahisi litaleta...
Nafikiri wakati umekwishawadia kwa mataifa mawili ya Tanganyika na Zanzibar kupata ufumbuzi wa mivutano yao kuhusu muungano kwenye mahakama ya kimataifa ya Katiba ili kujua hamta ya muungano kabla...
Wazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba?
source: gazeti RAIA mwema.
DUUUH wazanzibar sasa...
Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea...
Wakati ninasoma rasimu ya katika mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna neno linakera: "Serikali ya Tanzania Bara". Sura ya kwanza, ibara ya kwanza ya rasimu hii inatamka kwamba:
"Jamhuri...
Huwezi kujenga uwajibikaji na uzalendo... kama wapo wanaolipa kodi na wapo wasiolipa... Nadhani it is very wrong to have zero rate kodi kwa Raia yeyote wa Tanzania. Ni bora hata iwe 1% Lakini...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametahadharisha kuwa kung'ang'ania kuendesha nchi kwa kufuata mfumo wa sasa wa utawala wa Serikali mbili ili kuepuka gharama za...
wadau, hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la viongozi wa dini kuachana na kazi za kiroho na kuingia kwenye siasa. Hilo si tatizo kwani inaruhusiwa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo. hata hivyo...
Ibara zote 240 za rasimu ya katiba ziko kimya kabisa juu ya suala la ndoa, mahusiano ya kimapenzi na familia.
Je, ukimya huo hautakuwa upenyo kwa watu wanaotetea masuala ya ndoa/mahusiano ya...
Amesema hayo katika mahafali ya wanachuo!Kazungumzia suala la wabunge 2 kila jimbo haliwezikani.Pia ma rais 3 katika nchi moja haiwezekani watanzania wasikubali.Kama kawaida yake huwa hasemi hayo...
Zanzibar wahoji katoa wapi maoni serikali tatu Jaji Warioba? WAJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoka Tanzania Bara, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...
BILA SHAKA BAADA YA JAJI WARIOBA KUTANGAZA RASMU YA KATIBA HAYA YAMEJITOKEZA
1.kuwa na serikali tatu yaani srikali ya zanziba,serikali ya Tanganyika na serikali ya shirikisho
2.kuwa na raisi wa...
Ukisoma Ibara ya 220(1) ya Rasimu ya Katiba hii iliyotolewa juzi utaona TAKUKURU haijatajwa kama ni moja ya chombo cha Ulinzi na Usalama:
Lakini Pia Ibara ya 228(d) ya Rasimu hii utaona kuwa kazi...
Kumekuwa na maoni tofauti toka kwa watu na taasisi mbali mbali ya kumpongeza na kupinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Sintakwenda kwa undani sana lakini nitajikita...
Tume ya katiba imenichanganya, imenishangaza na imeniacha hoi..Nani alitoa maoni ya serikali TATU?? je ni asilimia ngapi?? Wananchi wangapi wa kawaida wanaujua muundo huo.?? Kama katika muundo huu...