Katika kipindi cha dakika 45 jana cha ITV Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba amewaomba wananchi hasa katika mabaraza ya katiba watoe maoni mapya ya kuboresha kile kilichopo...
Source BBC Kwa mujibu wa taarifa ya habari bwana Nape Nnauye kasema atatoa tamko la chama juu ya rasimu ya katiba kwani wao kama chama tawala na wana wabunge wengi na wanauwezo wa kukaa kama...
Chanzo cha habari hii ni kutoka katika gazeti la Habari leo
(http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/12645-makamu-wa-rais-atikisa-muungano)
Makamu wa Rais wa Zanzibar bw Seif...
Kwanin wameamua kuja na pendekezo la serikali tatu ilihal wananch hawakuambiwa kama muundo utakuwa hv? wanataka waendelee kuandika rasimu na katiba ya Tanganyika na zanzibar! Serikali tatu ni...
Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki...
Kamati Kuu inaipongeza Tume ya Mabadiliko ya
Katiba nchini kwa kazi nzuri na kukamilisha kazi kwa wakati.
Kamati Kuu imepokea rasimu hiyo na kuelekeza
kuwa;
Kwa kuwa rasimu hii ni ya kwanza...
Katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Nape kapingana na katibu wake ambaye hapo awali alidai kuwa wanaitisha kikao cha dharura kuijadili rasimu ya katiba mpya kwa maana hawajakubaliana...
Rais anapotoa ahadi katika kipindi cha miaka 5 ya kwanza na asizitimize katika kipindi husika asiruhusiwe kugombea kipindi cha miaka 5 inayofuata! Hoja hii iingizwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya...
CCM YAONYESHA UKOMAVU
YAIPELEKA RASIMU KWA WANACHAMA WAKE
YAJIVUNIA IDADI KUBWA YA WANACHAMA MILIONI SITA ILIYOKUWA NAO
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana jana tarehe...
Chama cha mapinduzi ccm kimedai kuwa rasimu ya katiba mpya inatakiwa itoke matoleo matatu na kuitaka tume ya kurekebisha katiba kujitokeza na kuwaeleza wananchi juu ya hilo.
Wanajamvi walioisona...
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru...
Pamoja na upole na sauti yake isiyo na makeke Rais wetu, sauti yake wakati anaadress kamati kuu inaonyesha ya unyonge sana, je ? ana hofu kuingia kwenye historia ambayo itaandika kwamba Muungano...
Naona watu wanahofu na serikali tatu mimi sijajiuliza sana kuhusu hilo lakini kwa nini Jaji Warioba hakupendekeza serikali moja chini ya Utawala wa Majimbo?? Zanzibar tuwe na majimbo mawili Pemba...
11 June 2013
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Maalum ya CCM Kamati Kuu kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa...
Haiingii akilini kwamba wajumbe wa tume bado wana woga wa kutumia neno Tanganyika na wakajikuta wanalazimika kutumia neno Tanzania Bara. Huku wakijua kabisa kwamba huu muungano ni wa Tanganyika na...
Siku ya kwanza nilipo sikia serikali tatu ndani ya rasimu hii ya katiba, nilijiuliza juu ya uongozi wa serikali hizi tatu, (yaani maraisi watatu makamu wa raisi mawaziri wa kuu nk). Lakini pia...
Rasimu imechemka umri wa urais
na Edson Kamukara
MHADHIRI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE), Dk. Kitila Mkumbo, amesema kuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, imechemka kwa...
Ndani ya rasimu hii tumeingiziwa serikali tatu yaani Ya Tanganyika,Zanzibar na ya Muungano,na mpaka sasa Zanzibar wanayo katiba yao kwa sasa tunahangaikia ya katiba ya Muungano ambayo...
Katiba mpya yafuta urasimu wa kutoa habari
Na Salome Kitomary
11th June 2013
Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rasimu ya Katiba...